UEFA: Erling Halaand afunga goli 5 wakati Man City ikiua goli 7

UEFA: Erling Halaand afunga goli 5 wakati Man City ikiua goli 7

Huyu si mchezaji wa red bull? Zaman. Kweli roho mbaya ameifanyia timu zao za zamani
Mchezaji wa Manchester City Erling Halaand atupia magori matano ⚽ kwenye hatua ya 16 Bora UEFA.

View attachment 2551798

Manchester city 7 -0 Rb Leipzg. Manchester City mabingwa wa UEFA 2022/2023🥇🏆save hii.
 
Hivi mna uhakika huyu Halaand ni binadamu mwenzetu?

Au ndio wale reptilian blood?
Wascandinavia ni kama mashetani vile, unakuta ni blonde hair, macho ya kijani au bluu kabisa then warefu vibaya, Hawa jamaa kama majini vile wanatisha, Nordics. Anajua kufunga.
 
Siku linahitajika goli moja la muhimuuuuu,Halaand haonekani. Ndio tatizo. Siku mpinzani akijichanganya,anapiga nyingi.
Hakuna mchezaji anafunga kila siku
 
Sio kwa Bayern na Madrid utawakataa hao City
Madrid ndo team inatolewaga na Man City ukiacha kubahatisha msimu uliopita embu ongeeni facts acheni porojo za kisukuma
 
Pep ana roho mbaya sana, hivi alishindwaje kumuacha Halland akamalizia Goli lake moja kuweka rekodi yake? Ni hukuma tena kubwa.
 
Back
Top Bottom