UEFA EURO 2024 Azam wataonesha kweli?

UEFA EURO 2024 Azam wataonesha kweli?

Azam wametukosea sana. Kutangaza mwamba zbc 2 watao yesha alafu tunaona manyoyatu!

Huu ni uhuni na Uwizi kama uwizi mwi gine. Tumelipia tuangalie mechi mnatuletea uhunitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijashangaa nilikwishajua yanatengenezwa mazingira watu walipie king'amuzi Kisha baadae tuoneshwe fei bui na samakiba
Na wababe wa kitaa
Hawa Azam ni wapuuzi kweli wanapiga promo za kipumbavu wakati hawaoneshi.
 
azam miyeyusho sana yani wao wanaweza kuonyesha ndondo za simba na. Yanga tu
 
Hahahahahah kazi kwelikweli Azam Tv ni sawa local channels kama ITV,Star tv n.k

DStv SS225 ni mwendo wa building Up after 5mns game IPO open
Unakosaje utamu huu wa EURO....
kuanzia package la Kumi alfu mechi zotee...
👌👌🔥
 
IMG_2475.jpg

Nilipoona hii ratiba sikujiuliza mara mbili kulipia Dstv. Leo mtaambulia mechi moja baada ya hapo mkutane Alhamisi.
 
Back
Top Bottom