raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Na waliwe tu.Italia sasa ni watumwa..
Wakileta upuuzi wanaliwa lingine.
Hili ni ballSwiss have qualified to quater final - commentator
Yaani dk ya 50 mtangazaji kashawapa ushindi SUI π
Sasa Italy si Wana rukaruka tu kama Swala nyikani....Swiss have qualified to quater final - commentator
Yaani dk ya 50 mtangazaji kashawapa ushindi SUI π
Bora hata Belgium ila Italy sioni mchezaji, siyo beki wala forward. Kipa pekee ndiye anajitahidiMkuu sio Tz uko...uko kuna wachezaji ma staa 100
Italia ana mlima.Swiss have qualified to quater final - commentator
Yaani dk ya 50 mtangazaji kashawapa ushindi SUI π
Mbaya sana, halafu kizazi cha Belgium tulichojua kitatikisa soka la dunia ndio hicho kinamalizikia kikiwa kimeambulia patupu.Italy
Belgium
Hawana kocha....
Mkuu hata sisi tunashabikia mpira kama wengine.KWeli hali mbaya hadi nyinyi mnacommentπ€£
Hamna kitu .... Hata Hilo goli Moja kupata ni kipengele....Italia ana mlima.
Ila tusisahau huu ni mpira. Muda bado sana. Ndo kwanza 55'
Wale wa magoli wanaula.Maafisa Ubashiri leo kimya πππππ
Timu inacheza kama wachezaji wana constipation bwanaHamna kitu .... Hata Hilo goli Moja kupata ni kipengele....
Belgium ni kocha anaogopa wachezajMbaya sana, halafu kizazi cha Belgium tulichojua kitatikisa soka la dunia ndio hicho kinamalizikia kikiwa kimeambulia patupu.