Wachezaji wamesharudi uwanjani?Kwani tunapitisha mtoto? Hahahhaa
Itazama.
Nimeweka 2.5 hafu mechi naona haina magoli hiiMagoli.
Ila napenda wachezaji wangu wa Man U wapite.
Mpira haudundi 🤣🤣🤣🤣🤣Me nasema umezingua kusema Indunda Park yaani umetaja uwanja jina baya
Tulioweka hela turudishiweHii Game watahairisha tuu
TutakujuzaWakirudi mseme mi nipo YouTube
Hakuna magoli hayo.Nimeweka 2.5 hafu mechi naona haina magoli hii
Mvua, radiNaona mtandaoni wameandika "suspended", mnaoangalia game kipi kimetokea?
Hawarudishi. Hii mechi itachezwa kesho au keshokutwa.Tulioweka hela turudishiwe
Bora umeonaKwenye haya mashindano austria na gorgia zimeinyesha mpira wa kuvutia sana