Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Naunga mkono hoja😂Alafu ile tabia ya kusingizia umri tuiache....kama vipaji hatuna tuseme..
Tumewaona wenye umri mkubwa humu wanatandaza ball safi
Sasa nani mbadala wake?Huyu Guehi ni beki mzito sana
Wapuuzi sanaInglandi warudi tu nyumbani, wachezaji kwenye vilabu wanavyochezea wanakiwasha kwenye timu ya taifa sasa
Bellingham anawazingua wenzake. Timu ingecheza vizuri bila uwepo wake. Kama Palmer angekaa namba 10, timu ingekuwa poaHuyu Guehi ni beki mzito sana
Southgate kaita kikosi kishabiki sana, wachezaji wazuri kawaacha kabeba anaowataka lakini wana uwezo wa kawaida.Sasa nani mbadala wake?
Bellingham kaanguka kama gunia la viazi pale sokoni mabiboBellingham anawazingua wenzake. Timu ingecheza vizuri bila uwepo wake. Kama Palmer angekaa namba 10, timu ingekuwa poa
Pale hamna kochaInglandi warudi tu nyumbani, wachezaji kwenye vilabu wanavyochezea wanakiwasha kwenye timu ya taifa sasa
Kuna muda analazimisha kukaa na mipira badala ya kuachiaBellingham kaanguka kama gunia la viazi pale sokoni mabibo