Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wabure tena?Slovakia wanawapa ushindi wa bure kabisa hao Waingereza.
Mmeshinda kaka hongereni sanaI told you my Brother 😅 😅
Hiyo ndo inaitwa snatching victory from the jaws of defeat or snatching defeat from the jaws of victory.Wabure tena?
Zote...ka win header zoteIvan Toney katoa assist kumbe
Whatever!! 😅Hiyo ndo inaitwa snatching victory from the jaws of defeat or snatching defeat from the jaws of victory.
Wasingeweza kushikilia bomba hadi mwisho.Slovakia washajichokea.
🤝🤝Mmeshinda kaka hongereni sana
Kabisa wameshakata motoWasingeweza kushikilia bomba hadi mwisho.
Zilikuwa zimebaki sekunde chache tu kwenye regulation time mpira kuisha lakini wakaruhusu goli.Wasingeweza kushikilia bomba hadi mwisho.
Na walifanya ujinga kujifanya wanapoteza muda eti kilichowapataZilikuwa zimebaki sekunde chache tu kwenye regulation time mpira kuisha lakini wakaruhusu goli.