Tulia mkuuHawa Georgia watajuta nahis wanatamani Bora wangeishia makundi.
Just as if mmeshashinda magoli matatu 🤣🤣🤣🤣Hawa Georgia watajuta nahis wanatamani Bora wangeishia makundi tu.
Relax mamaa.Dr Restart mimi nalala, muda wa match yetu ukifika puliza kipenga nianze mashambulizi..!
Mkuu soma ubaoHawa Georgia watajuta nahis wanatamani Bora wangeishia makundi tu.
Mechi ya leo Jude amecheza vizuri
Bado Upo?Hawa Georgia watajuta nahis wanatamani Bora wangeishia makundi tu.
Subiria tu HT mdau, ukalaleNilale tu kwanza mamipira ni haramu
Sema kuna namna unatamanisha eehDr Restart mimi nalala, muda wa match yetu ukifika puliza kipenga nianze mashambulizi..!