Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
NakaziaGeorgia wangekutana na England wangeenda robo kirahisi sana
🤣🤣🤣Georgia wangekutana na England wangeenda robo kirahisi sana
Hata wewe ungekuwa Mzungu ungewabagua sana watu weusiTena Guehi anabahati sana...angekula lawama zote....
England wabaguzi.
Huyo pepo akutokeSema kuna namna unatamanisha eeh
NakaziaGeorgia wangekutana na England wangeenda robo kirahisi sana
Rangi nyeusi peke yake kwenye timu kama Spain inakupa picha uwezo wa mchezaji husika hata kabla hujamtizama akicheza.Navutiawa na uchezaji wa Williams jr
Michael Oliver na Christian Attwell hii laana itawafuata mpaka vizazi vyao
Tena Guehi anabahati sana...angekula lawama zote....
England wabaguzi.
Lkn maisha ni kufurahia kwann wasifurahi wakati wameshinda