vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Naona hata mimi red card pia inanukiaSema wanaweza pigwa kaunta
Sema ana mabekiInaonekana goalkeeper wa ufaransa ni shati😁
Mkuu unachek mech ipiOnana amelishika dimba la kati kwa muda kina kante wamepotea
Kuna dkk kadhaa France walipoteana katikatiMkuu unachek mech ipi
Trossad aingie uwa anarudi hadi kati..Lukaku ni mzigo, hana msaada kwa timu. Apumzishwe kabla hali haijawa mbaya.