MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
ππ Yani Kuna Watu Wanajua Kujizima DataMkuu unachek mech ipi
Halafu Mwamba Anavuja Jasho Kama Kamwagiwa Mapipa ya MajiLukaku ni mzigo, hana msaada kwa timu. Apumzishwe kabla hali haijawa mbaya.
Ashinde mtu Sasa ......Game tamu sana
Nawe upo mwanza kama mm...Tanesco hawaTanesco wamefanya yao tayari