Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #3,981
Unauwakika unachoongea ?! Joao Felix si alicheza mechi ya mwisho gorgea, Ila kiwango chake ilikuwa mbovuIna maana Joao Felix ndio kaflop kiasi hicho jamaa nadhani hajaanza mechi hata moja duh
Akitolewa atakasirika na kupiga hovyo vikopo vya majiRonaldo anaachwa kwsbb ana jina kubwa, heshima au nini?
SloveniaNi Slovenia, slovekia walitolewa jana na watoto wa malkia