vn_warehouse
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 648
- 854
Mpaka sasa France hawana goal la maana ,ila wako quarter final uchawi upo mkuuMathafaka ufaransa na magoli Yao yakujifunga timu pinzani
Bingwa anaweza tokea hapaFriday
19:00PM
Spain vs Germany
10:00PM
France vs Portugal
Njia ngumu zaidi kuitafuta Final, Imagine hapa nI mmoja tuu ndo atafika Final,
😀😀😀😀😀😀
Atayefika Final hapa ndo ana posibilty kubwa kubeba kombe
Sahihi mkuuBingwa anaweza tokea hapa
Kaona ya Ronaldo tuLeo kakutana na vitu vizito
Na itakuwa hivyo nahisi Final itakuwa England na ujerumaniAtayefika Final hapa ndo ana posibilty kubwa kubeba kombe
England atakula mkono mzimaNa itakuwa hivyo nahisi Final itakuwa England na ujerumani
Aisee kumbe ijumaa full burudani. Dah hiyo spain germany kazi ipoFriday
19:00PM
Spain vs Germany
10:00PM
France vs Portugal
Njia ngumu zaidi kuitafuta Final, Imagine hapa nI mmoja tuu ndo atafika Final,
😀😀😀😀😀😀
Ni kweli ila nafikiri sababu kubwa ni hizi Nchi zilizokuwa ndogo ndogo kisoka ulaya zimewekeza kwenye soka na zina makocha wazuri so hawaogopi tena majina...sijui Ronaldo, Kane n.kMatch ya German na Spain ndo ili faa kua final ..hizi France England na Portugal amna kitu
Kama mechi ipi?Ila hii EURO na mamifumo yao Kuna mechi hazinogi kabisa Bora hata ndondo aseee....mechi inapoaaaa kama uji wa mhogo....
Oblak ni stopper mzuri kwenye open play, wala hata huwa sio mzuri kwenye kuokoa penaltiesWareno wakumbuke wakifika kwenye matuta wenzao wana oblack golini
Karibu mechi zote za ufaransa sijaona kile ambacho nilitaraji, zimepoa sanaKama mechi ipi?
Obviously hii ndio fainali, kama tu ilivyokuwa mechi ya Real madrid vs Manchester City kwenye champions league msimu uliopita.Match ya German na Spain ndo ili faa kua final ..hizi France England na Portugal amna kitu
Nakazia hapa. Hii michuano ya EURO 2024 imepoa sana mwaka huu. Haina mvuto kabisaAfcon ilikuwa bora sana kuliko haya mashindano ya kwenye madimbwi ya maji.