Mimi nashabikia underdogs tu ila chama Ureno.Sema kuchagua team ndio hauwezagi.. ππ
Mpira ni furaha, kuweni na amani.Mod leo utaishia kutupiga Ban Wale tutaidis Romania
Dr Restart hajawahi kuniangushaMbona hamna anaesema matokeo kwamba ni Romania ya Active 0 na Netherlands ya Dr Restart 1.
Muingereza wa KivuleDr Restart hajawahi kuniangushaπ€Έ
Ni kweli, lakini makipa wengi wazuri huwa sio wazuri kwenye penaltyOblak ni stopper mzuri kwenye open play, wala hata huwa sio mzuri kwenye kuokoa penalties
Nakumbuka kwenye UCL final 2016 alifungwa penalties zote 5.
Sana. Kuna moja Pepe alichoma, jamaa akabaki na kipa.