Hahaha kwaniniHawa Romania ingekuwa pambano la ngumi mchezo ungekuwa umeshaisha
Madogo mpka HT hata kuclear tu mpira golini ilikuwa shida walikuwa wamechoka hasaHahaha kwanini
Scorer au?Hivi wakubwa mpaka kufika sasa ni ni mchezaji gani anaweza kuwa mchezaji bora kwenye Euro msimu huu.
Kinda, Williams JnrHivi wakubwa mpaka kufika sasa ni ni mchezaji gani anaweza kuwa mchezaji bora kwenye Euro msimu huu.
Sjui wamed3fend vipi paleMpira wa kurusha hauna offside. Ingekua bongo hili lingekataliwa