UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Romania na Austria wote hawa wazee wa makikiri,

Maana soka lao la kibabe ni kiboko ya mabishoo.

Bahati mbaya kwao Leo wamekutana Netherlands na Turkey mafundi wenye mapafu ya mbwa Leo wacha wajifunze soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…