Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Yale mashindano ya CAF hadi Simba wakawa loosers ile ni michuano?Ligi huchukua muda mrefu.
Muundo pia, kwenye ligi mshindi hutafutwa kwa points. Wakati michuano huwa na group then knock outs.
Ila Kipa 👋What a miss from Croatia