Mkuu ya kweli hayaUholanzi atakufa nyingi sana
Fainali itakua nyepesi sana kwa spain
Vuta subraMkuu ya kweli haya
Tafadhali Mkuu, acha tufurahie mpira.Huu mpira haukuvuka mstari n kama Ile game ya yanga kule sauz
Yamekuwa hayo tena? Mtasema yote.Fainali itakua nyepesi sana kwa spain
YaanTafadhali Mkuu, acha tufurahie mpira.
Imagine alikua anawekwa benchi.. Na bado Southgate ana vijana wako benchi wamoto sanaMainoo anamwaga sana mipasi ya upendo
Southgate ni tapeli tu kama ilivyo kwa ten hagImagine alikua anawekwa benchi.. Na bado Southgate ana vijana wako benchi wamoto sana