Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #21
Three Lions tunapigiwa sana chapuo kushinda kombe hili. Ila yanabaki kuwa ni maneno tu, mpaka tutakapothibitisha uwanjani.Three Lions tujuane…
Its coming home
mna wachezaji ila timu hamna, hvo it is not coming home.Three Lions tunapigiwa sana chapuo kushinda kombe hili. Ila yanabaki kuwa ni maneno tu, mpaka tutakapothibitisha uwanjani.
Southgate anatarajiwa kutangaza kikosi hivi karibuni, tuone nani na nani watatokea .
Mimi ni Three Lions for Life. Iwe mvua iwe jua. Iwe WC iwe Euro. Siku zote nitaichagua England.
mna wachezaji ila timu hamna, hvo it is not coming home.
Hamna timu wazee maneno mengiThree Lions tujuane…
Its coming home
Msimu huu Kante Ngolo Ustaaz lazima anyanyue kwapa..Three Lions tujuane…
Its coming home
Wana wachezaji vijana na wazuri. Mainoo, foden, palmer, nk.Three [emoji881] Lion
FA ingemwondoa southgate,
Wajukuu wa malkia tungebeba kabisa ubingwa
Ila kwa huyu kocha wa championship tunaenda kusindikiza
Usisahau pia mwezi huo wa 6 pia kutakuwa na Copa America.Three Lions tujuane…
Its coming home
Ombi lako nitalifanyia kazi mkuuUsisahau pia mwezi huo wa 6 pia kutakuwa na Copa America.
Kwa heshima kubwa sisi wapenda soka hapa jf tunakutaka uanzishe uzi maalum kwa ajili ya mashindano hayo.
Three Lions tunapigiwa sana chapuo kushinda kombe hili. Ila yanabaki kuwa ni maneno tu, mpaka tutakapothibitisha uwanjani.
Southgate anatarajiwa kutangaza kikosi hivi karibuni, tuone nani na nani watatokea .
Mimi ni Three Lions for Life. Iwe mvua iwe jua. Iwe WC iwe Euro. Siku zote nitaichagua England.
Alonso anatoshaKatika timu yenye mashabiki wa ovyo na wakukaririshana ni England, eti bila ya Southgate mungebeba Ubingwa, sasa apewe nani Lampard au Gerrad?
Alonso anatosha
Kikosi tiyari ,Rashford hayupo kwenye mkeka.Three Lions tujuane…
Its coming home
AmestahiliKikosi tiyari ,Rashford hayupo kwenye mkeka.