Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Halaf maisha ni bahati, jamaa kapata nafasi baada ya pedri kuumiaDani Olmo timu kama ya babake
Kweli mkuuHalaf maisha ni bahati, jamaa kapata nafasi baada ya pedri kuumia
Andika vizuri wewe, umechanganyikiwa?Since Offside hiyo?
Yaani, lakini pia sijui kwa ninj kamuacha walker. Hata goli la kwanza limetokea upande wakeKwnn kocha wa England hakumweka Toney muda mrefu na Alexander Anorld ilihali walikuwa washazidiwa muda sana