UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mbape aichunge sana game yake

Anaweza kuwika kwa kipindi kifupi sana akapotea

Kwa umri wake wa miaka 26 ana misimu minne ya kuonyesha burudani

Na Madrid kina vini na Rodrigo hawatakubali kuishi kwenye kivuli chake
Mbappe bado sana yupo kwenye soka afu ishu ya mchezaji kudumu kwenye soka kwa kipindi kirefu ina uhusiano mkubwa sana na maisha ya nje ya uwanja Mbappe ni moja kati ya wachezaji wenye self displine kubwa sana nje ya uwanja.ingekua ni Game style Ndani ya uwanja inaamua mchezaji adumu kwa kipindi Gani basi kina Cristiano had leo hii wangekua wametandika daruga maana Game style ni hiyo hiyo ya kina Mbappe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…