Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Bayern katoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi arudi kuja kutoa sababu ya kutolewa Bayern..huenda nyota ya Johari ilifunikwa na mawingu hivyo ushindi wa Bayern ukazibwa ahaaaaaaa!!! ndugu yetu Deadbody kuja huku aiseeHawa ndo manabii wa uongo ambao wameshindwa hata kugeuza jiwe kuwa mkate.
BAYERN!? NDO MDUDU GANI HUYO?!Mwenzenu nipo gizani, sikujua kama UEFA umebaki mchezo mmoja tu, ambao ni fainali, kati ya Liverpool na Bayern!!!
kachana mkeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
BAYERN WAMELALA NJAA, WALIOJITAJIBIRIA UBINGWA WAMEUMBUKA, WALIDHANI HII NI VODACOM PREMIER LEAGUE, WANABII WA UONGO WAMEAIBIKA, HAWAKUJUA KAMA HII NI EUFA.Leo ni siku ya jumatatu April 30,2018.
Naomba msiusahau huu uzi
Ni hayo tu
Hongereni mashabiki wa Bayern Munich kwa kuchukua kombe la UEFA 2017/18.
Walifikiri kwamba hii ni Vodacom Premier League.Huu ni utabiri au ni ndoto?
Karudi kumsalimia bi AngelaMbona Buryen alishatolewa mkuu?
Mkuu, mwambie nabii tito bayern wamelala njaa.Nabii tito tumekusikia,
Tena anaota za mchana.Bado anaota!
[emoji23][emoji23][emoji23] bora umeniquot huku mzee mana game ilivyoisha tu nilimkumbuka huyu mwanaWalifikiri kwamba hii ni Vodacom Premier League.