Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fc barcelona vs Inter milanalisikika mlevi mmoja
Jipige pige kifuani sema roho ya uchawi toooooka...Nilichelewa kuona timu zilipoingia uwanjani game ya Juve na Bayerliverkusen,nimetazama game toka dkk ya 12 hadi dkka ya 40 jirani ya niliyekaa nae tukaulizana Hivi ronaldo hayupo kweli ? Wote tuka assume hayupo na jirani zetu pale hawakusema lolote mpaka wanatoka half time.
Baada ya matangazo mechi ikaanza Cr7 kaja kuonekana dkka ya 57...tukasema aah yupo...kumbe..yupo,tukashangaa imekuaje ? Akapata chance zaidi ya 4 zingine niyeye na kipa..amezipoteza ! Mwenzetu mmoja hapo akatuambia jamaa kapoa sana sasa hivi na kwamba kuna game ya karibuni ya ligi italy juve walicheza Cr 7 hakupiga shoot hata moja ktk historia yake haijawahi tokea.. na statistis zake zote zilisoma 0.0....siku hiyo..sasa kwa aliyeshuhudia game ya leo atakubaliana na hoja ya huyu striker kuwa chini ya kiwango nowadays kwa asilimia kubwa japo dakika za mwisho alibahatika kufunga goli moja kati ya matatu walioshinda juve.
Fc barcelona vs Inter milan
Umemuona mchezaji bora wa ulaya na dunia ?
Ni wivuu tuuNdio ukweli wenyewe...
Ni wivuu tuu
Chuki zinawasumbua hawa wajomba...kwa mpira aloucheza Messi jana sidhani kama Ronaldo ashawahi kufanya hivyo ktk maisha yake...Ndio maana nasema hivi " G.O.A.T halinganishwi na mchezaji yeyote duniani, kwa mbali El pibe de Oro/Armando
Messi hatari, niliiwekeea mzigo mzigo hyo gem baada ya kufungwa goli la kwanza nikaagiza bucket ya budwizer nikaendelea na mambo yangu nilishasema kama messi yupo ndani inter watasubir sana, MESSI IS INCREDIBLE
Raha sana Messi akiwemo, anaufanya mchezo uwe mwepesi mno...uwepo wake unanifanya niwe na amani [emoji4] [emoji4]
Mara nyingi walizokutana na Barcelona mambo hayakuwa kama unavyotamani.subiri wakutane na barcelona au bayern au liverpool ndio utajua yupo au kapoa. CR 7 mechi kubwa wanazohitaji matokeo ndio utauona umuhimu wake
Sidhani kama hoja ni akaunti ya benki ya Ronaldo, mbona kama umeingiwa jazba? Bloetu anazungumzia kiwango cha Ronaldo huko Juventus. Ukiona mtu kanunua jezi ya Ronaldo ni kuwa anamkubali uwanjani na sio kwenye akaunti. Na ndio maana hatuvai nguo zenye jina la Gates, tunavaa LukakuPale ambapo Christiano Ronaldo anaendelea kupaa juu na akaunti yake inajaa hadi inakaribia kuvunjika, someone hater in Africa anataka kutema nyongo