Uefa: Huyu Cr 7 ndiyo wa kumlinganisha na Messi ?

Jipige pige kifuani sema roho ya uchawi toooooka...
 
Hivi Ronaldo ashawahi kukusanya kijiji tokea aanze kucheza soccer? Japo hata watatu na kuscore!!
 
Fc barcelona vs Inter milan
Umemuona mchezaji bora wa ulaya na dunia ?

Chuki zinawasumbua hawa wajomba...kwa mpira aloucheza Messi jana sidhani kama Ronaldo ashawahi kufanya hivyo ktk maisha yake...Ndio maana nasema hivi " G.O.A.T halinganishwi na mchezaji yeyote duniani, kwa mbali El pibe de Oro/Armando
 
Ni wivuu tuu

Ndio maana hata mitaani ukikutana na watoto wanacheza mpira utasikia wanasema "unacheza kama Messi" huwezi sikia wakisema unacheza kama Ronaldo
πŸ˜€ πŸ˜€ Messi anapendeka na anakubalika, na hatatokea another player like Messi, labda baada ya karne 10 zijazo.
 
Chuki zinawasumbua hawa wajomba...kwa mpira aloucheza Messi jana sidhani kama Ronaldo ashawahi kufanya hivyo ktk maisha yake...Ndio maana nasema hivi " G.O.A.T halinganishwi na mchezaji yeyote duniani, kwa mbali El pibe de Oro/Armando

Messi hatari, niliiwekeea mzigo mzigo hyo gem baada ya kufungwa goli la kwanza nikaagiza bucket ya budwizer nikaendelea na mambo yangu nilishasema kama messi yupo ndani inter watasubir sana, MESSI IS INCREDIBLE
 
Raha sana Messi akiwemo, anaufanya mchezo uwe mwepesi mno...uwepo wake unanifanya niwe na amani 😊 😊
 
Akimbii sana uwanjani kutokana na umri pia ni namna nzuri ya kubaki mchezoni kwa miaka kadhaa mbele.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemkumbuka huyu jamaa.Amekurupuka kufungua uzi,baada ya kuhadithiwa mechi za Juve
 
Nasikia Messi kaanza kuuza nguo za vijitu vifupi
 
Pale ambapo Christiano Ronaldo anaendelea kupaa juu na akaunti yake inajaa hadi inakaribia kuvunjika, someone hater in Africa anataka kutema nyongo
Sidhani kama hoja ni akaunti ya benki ya Ronaldo, mbona kama umeingiwa jazba? Bloetu anazungumzia kiwango cha Ronaldo huko Juventus. Ukiona mtu kanunua jezi ya Ronaldo ni kuwa anamkubali uwanjani na sio kwenye akaunti. Na ndio maana hatuvai nguo zenye jina la Gates, tunavaa Lukaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…