UEFA iepusheni liverpool isikutane na barcelona kwenye UCL

loosimingori

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
920
Reaction score
1,145
Mimi kama liverpool fan tangu enzi za gerrard houllier kwa kusema ukweli naogopa sana liverpool akipangwa na barcelona kwenye hatua ifuatayo ya 8 bora.Kama ningekuwa na uwezo basi ningependa sana man city ndio akutane na barca kwenye 8 bora.Sijui wadau wenzangu wa You will never walk alone mnasemaje
 
Ok bora tu wakitane na Bayern et??
 
mi fan wa barca..napenda tukutanena roma, sevilla au madrid hao tunapiga bila wasi kabisaaa..ikishindikana hao basi tupewe juve ikishindikana basi mancity...ila liver na bayern watatusumbua....liver wanasumbua sana tim kubwa ila wakipangiwa roma au sevilla habari yao imekwisha
 
Kwa barca hamtasalimika, hata mancity itabidi wajiangalie sana mi kama mpenzi wa soka la spain natabiri huenda fainali ya uefa ikachezwa na waspaniola tu, kumbuka mpaka sasa tunaenda robo fainali kati ya tim nane kuna tim tatu za spain zishafuzu barca, madrid na sevilla
 
Mpaka sasa timu inayotusha UEFA champs ni madrid si barca. Chelsea hawakuwa na clinical finisher ila walicheza vzr sana. Pia kipa 2a liverpool jana ilikuwa bahati mbaya sana kwake. Magoli mawil yalimpita tobo. Pia ilikuwa bahat nzuri kwa messi, mipira ilifanikiwa kupita kwenye miguu ya kipa. Omba usikutanw na madrid. Jamaa hawana mzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…