UEFA iepusheni liverpool isikutane na barcelona kwenye UCL

UEFA iepusheni liverpool isikutane na barcelona kwenye UCL

Kila mtu hataki kukutana na Barca, cha msingi ni kusubiria tu tuone matokei ila mimi naamini Liverpool mwisho wake ndo umewadia.
 
Mpaka sasa timu inayotusha UEFA champs ni madrid si barca. Chelsea hawakuwa na clinical finisher ila walicheza vzr sana. Pia kipa 2a liverpool jana ilikuwa bahati mbaya sana kwake. Magoli mawil yalimpita tobo. Pia ilikuwa bahat nzuri kwa messi, mipira ilifanikiwa kupita kwenye miguu ya kipa. Omba usikutanw na madrid. Jamaa hawana mzaa
Hii Madrid ilopigwa na Tot?
 
Yeyote atakayepangwa na barca safari yake inaishia hapo
Ila nawataman man city maana wanawaonea wenzao sana
 
Man city akikutana na barca anapigwa tena asubuhi tu bora Liverpool anaweza akaonesha upinzani kwa soka lake lenye kasi. Vile vipasi vya man city vitakuwa vikinaswa tu na wakina Iniesta.
 
Man city hawezi kumtoa Barcelona coz amecopy style ya Barcelona na hapo ndipo itakapojulikana original na fake.
 
Back
Top Bottom