Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Madrid ilopigwa na Tot?Mpaka sasa timu inayotusha UEFA champs ni madrid si barca. Chelsea hawakuwa na clinical finisher ila walicheza vzr sana. Pia kipa 2a liverpool jana ilikuwa bahati mbaya sana kwake. Magoli mawil yalimpita tobo. Pia ilikuwa bahat nzuri kwa messi, mipira ilifanikiwa kupita kwenye miguu ya kipa. Omba usikutanw na madrid. Jamaa hawana mzaa
Ndio hao waliowapiga psgHii Madrid ilopigwa na Tot?
Baca anagongwa vizuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hahah kitambo *****