JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kwahiyo wewe Uefa leo umeona mechi moja tuIkicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A...
Mmh kumekuchaIkicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A.
Magoli ya Bayern yamefungwa na Leroy Sane, Segre Gnabry, Harry Kane na Mathy Tel wakati United wafungaji ni Rasmus Hojlund na Casemiro (mawili).
Huo ni mchezo wa tatu mfululizo kwa United kupoteza, michezo iliyopita ikifungwa na Arsenal (3-1) na Brighton (3-1) katika Premier League.
Mmh kumekucha
Vaa Madrid utapendezaKesho ntaachagua nivae YANGA,BAYERN au MADRID
Nnacho cha zambarau basi watajua hawajuiVaa Madrid utapendeza
Me nikajua nyeupennacho cha zambarau basi watajua hawajui
Hizo nyingine utatueleza wewe, sisi tunajadili ya Manyuu.Kwahiyo wewe Uefa leo umeona mechi moja tu