Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
AsanteDakika ya 9 mkuu
Sorry kidogo naweza kupata link ya hiyo game kama ni ndiyo naombaAzpilicueta hatimae anapata namba Spain tayari akiwa mzee
Hesgoal.comSorry kidogo naweza kupata link ya hiyo game kama ni ndiyo naomba
Wafaransa wenye asili ya ufaransa ni 2 tu.
Wafaransa wenye asili ya ufaransa ni 2 tu.
Ilikuwaje hadi akahamisha uraiaAymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa aliyechukua uraia wa Spain leo anacheza dhidi ya Taifa lake alilozaliwa
Pavard & LlorisNani na nani mkuu?
Kocha Didier Deschamp alimwambia hana nafasi kikosini jamaa akahama nchiIlikuwaje hadi akahamisha uraia
Chelsea effect hiiAzpilicueta hatimae anapata namba Spain tayari akiwa mzee