Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Theo Hernandez
Pavard & Lloris
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pavard & Lloris
Yah kweliChelsea effect hii
Hawana mipango ya goliSpain wanamiliki sana mpira. Lakini bado hawajawa hatari sana.
Hovyo kabisaaaMarcus Alonso anapiga foul ya hovyo, inatoka nje.
Kumbe, wenzetu kwenye kupigania wanachokitaka huwa hawana utani.Kocha Didier Deschamp alimwambia hana nafasi kikosini jamaa akahama nchi
Pongezi zako uko serious braza🙏Hesgoal.com
Pamoja mkuuPongezi zako uko serious braza🙏
Yah mkuu, pengine 2nd half watakuja na mipangoSo far,
Mpira ni wa kawaida kabisa.
Hakuna mashambulizi ya hatari.
Spain wanamiliki sana mpira lakini bado hawajafanya shambulizi la maana.
Tusubiri kipindi cha pili.
Sawa, ila kombe linaenda Ufaransamie nipo spain