Uefa Nations League Final: France yabeba kombe baada ya kuifunga Spain kwa magoli 2-1

Kocha Didier Deschamp alimwambia hana nafasi kikosini jamaa akahama nchi
Kumbe, wenzetu kwenye kupigania wanachokitaka huwa hawana utani.

Kaitafuta ndoto ya kucheza timu ya Taifa hatimaye kaipata. Bila shaka mwakani atakwea Qatar
 
So far,

Mpira ni wa kawaida kabisa.
Hakuna mashambulizi ya hatari.
Spain wanamiliki sana mpira lakini bado hawajafanya shambulizi la maana.

Tusubiri kipindi cha pili.
 
So far,

Mpira ni wa kawaida kabisa.
Hakuna mashambulizi ya hatari.
Spain wanamiliki sana mpira lakini bado hawajafanya shambulizi la maana.

Tusubiri kipindi cha pili.
Yah mkuu, pengine 2nd half watakuja na mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…