Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Caf ngoja tusubiri wana msimamo gani
Uko sahihiFIFA bila uefa ni sawa na mwewe asiye na mabawa
Fifa bila UEFA nisawa na NATO bila USAFIFA bila uefa ni sawa na mwewe asiye na mabawa
Anatubeba kivipi huku wao wanaenda kupiga mabilioni ya pesa kwenye hilo dili halafu wengine wanaachiwa vichenji? Yeye kama rais wa FIFA anapaswa kuwajibika kwa mashirikisho yote ikiwemo ya Afrika, anachofanya sio hisani, ni wajibu wake. Akikosea akosolewe,hakuna cha anatubeba wala nini.CAF ni kusimama na Infantino tu, Jamaa anatubeba sana
Anatubeba kivipi huku wao wanaenda kupiga mabilioni ya pesa kwenye hilo dili halafu wengine wanaachiwa vichenji? Yeye kama rais wa FIFA anapaswa kuwajibika kwa mashirikisho yote ikiwemo ya Afrika, anachofanya sio hisani, ni wajibu wake. Akikosea akosolewe,hakuna cha anatubeba wala nini.
Hadi ajiuzulu ndo mambo yatakaa sawa, sasahivi haaminiki,tamaa ya pesa aliyonayo kama viongozi wa Afrika,anafanya maamuzi kama kipofu kabisaa.
Nafasi kwenye world cup zingeongezeka automatically kama timu zetu zingekuwa zinafanya vizuri na kufika mbali kwenye michuano ya kombe la dunia bila hata hisani ya huyo Infantinno. Nafasi za kombe la dunia sio hisani, wanaofanya vizuri ndo wanapewa nafasi nyingi,badala ya kusubiri hisani ya Rais wa FIFA kwanini tusiboreshe timu zetu za taifa ili ziweze kufanya vizuri kwenye kombe la dunia? ikiwa kawaida timu za Afrika kufanya vizuri, nafasi zitakuja nyingi automatically kwa sababu tumestahili sio kama sasahivi tunasubiri hisani ya Infantino.yeye ndie alietupa nafasi 10 za world cup, wazungu hilo jambo limewauma sana. tunatakiwa tuwe na shukurani.
Media za Ulaya ndo zilimtuma Infantinno afanye maamuzi ya hovyo?acha kukariri kila kitu media za ulaya