UEFA yakataa ombi la msamaha la Infantino, yasisitiza mpango wa kususia kombe la dunia upo palepale

Nlichojua FiFA ni kipande ni pale mshindi wa kwanza alipopatikana asee kumbe anapata pesa ndg kiasi kile duh macho yalitoka ,,πŸ˜—πŸ€ͺπŸ€• fikilia mtu anapata usd b13.. halafu mshindi wa kwanza anapata usd m50+ chukua washindi wote haifik 200m.. halafu jamaa wamekuja b13 ndani ya mwezi huu1...mpira unalipa..

Hiv hapa kwetu msimu mzima mwamba anakuja ngp? Wakulunga semeni tujue... kama uwiano upo Sawa! Au like faza like maza??πŸ₯°πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Hizo pesa za FIFA ndo zinawatoa mate watu hadi wanataka kutengeneza kampuni ya mchongo ili wajipigie kiulainii.
 

nafasi za Africa zilikua ni hisani, alikua na uwezo wa kuengeza 2 tu na wala isingelikua tatizo. na ndio mana wazungu wengi wamelalamika africa kupewa nafasi nyingi
 
Wanatakiwa wambane zaidi ili apunguze ujinga.
Ataondoka unajua Ulaya hawakupenda jinsi Trump alivyosimamia WC aliweka kodi kubwa kwa timu zilizotumia viwanja vya USA,Refa wa Somalia kukataliwa kuingia USA wakati mpira na Siasa ni vitu viwili tofauti na akashauri kombe liuzwe hapo ndio wametibuliwa zaidi cha ajabu Mexico na Nchi za Afrika zipo na FIFA.
 
nafasi za Africa zilikua ni hisani, alikua na uwezo wa kuengeza 2 tu na wala isingelikua tatizo. na ndio mana wazungu wengi wamelalamika africa kupewa nafasi nyingi
Na kwanini tutegemee hisani badala ya kupambania nafasi? Mbona Ulaya nafasi zao wamezipambania? Kwanini na sisi tusipambanie nafasi zetu kuliko kumtegemea Infantino? Mimi mwenyewe siungi mkono nafasi za hisani kwa Afrika, waache tuzipambanie pale uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…