UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

Golikipa:Olivier khan. Beki: maldini.r Carlos. Sol Campbell. Cannavaro Kiungo: makelele. Zidane. Ronaldinho. Pirlo. Forward: Van Nistelrooy. Samuel Ettoo. Hiki kikosi kinawakalisha nyingi hiyo first eleven yao
 
GK: oliver khan
DEF: cafu, Cannavaro, Nesta, R carlos
MID: Makelele, Xavi, Zidane
FW: Gaucho, Messi, C Ronaldo

Sub: buffon, lahm, lucio, seedorf, scholes, nedved, del piero, raul
 
Mimi nadhani wapo sawa kwa kuangalia idadi ya mechi za Champions League alizocheza na mchango wake kwa nafasi aliyokuwa anacheza. Ronaldo Lima ni bonge la striker, lakini amefunga magoli machache na amecheza mechi chache za champions league. Kazi ya mshambuliaji wa kati ni kufunga magoli, ukiangalia orodha ya wafungaji wa muda wote wa champions league, Ronaldo de Lima hayupo hata 5 bora

Umesema vizuri.. vipi kuhusu Raul Gonzalez
 
Raul vipi? Yaani Chogo anamkalisha Raul?

Hata mie nimemuuliza hilo swali kabla sijaona comment yako.. Raul record yake imevunjwa juzi hapa na jamaa wawili (cr7 na mss) lakini hayupo..
 
Zinedine Zidane hawezi kuwa mbadala yaani reserve?? Hawa wanatania.
 
Raul,pilor,jeremiah,Gatuso,morientes,cafu,nesta,maldin,seedof,
 
niliangalia magoli bora ya madrid ebana kuna watu aisee.
 
Back
Top Bottom