UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

wanaopinga uwepo wa giggs

1. kabeba UEFA Mara 2

2. mpaka Leo ndio top assist akiwa katengeneza magoli 30.

most creative player kupata kutokea UEFA asipokuepo kwenye list tayari unapata idea kua list ina walakin

3. ameshiriki finali 4 UEFA.
 

Dinho kunuweka kiwango kimoja na zlatan ni kumvunjia heshima. Namshauri Dinho awapeleke mahakamani uefa kwa kumdhalilisha.
 
Kumuweka Dhinho pembeni kunaifanya hiyo orodha inakua najisi na inakosa uhalali wa kimaadili,kisheria na kifalsafa.
De lima wamemuacha?
Afrika amekosa hata etoo au drogba,jamani.

Seedof, pillo, hii ni aibu, raul? Sitaki kuamini.

Wamezingua hao ni najisi kabisaa hii list yao
 
sasa Gerald anafanya nini hapo..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…