Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahije timu ya Uefa imetoka
ile draw inafanyikaga live hivyo kubebwa ni haiwezekani, ingekuwa inafanyika kwa siri wangepangiwa vilaza pengine
pamoja na hayo kaongeza dk 3 za majeruhi lkn kachezesha hadi dk 96 wangepata bao barca dk 94 au 95 c angekua kashawazulumu? bado red card ya iniestarefa wa leo naona alikua fair kidogo, ni kutokana na kelele za wadau wa soka kuhusu kubebwa kwa hawa jamaa
Na ile kadi aliyepewa Del horno, chelse vs barca, na penalts nne ( 2009)za Chelsea zile zilikuwa penalts za wazi , kusema ana nguvu hawezi kundondoka hiyo sio sahihiNitaelezea zile Game nizikumbukazo vema kichwani.
-2009 Drogba ndo aliicost team, katika mpira kuna sehemu unatumia nguvu na akili. Drogba ni mchezaji mwenye nguvu sana akili pia, mtu kama Drogba kuanguka hovyo ndani ya 18 ni ngumu refa kuita Penalty, angekuwa Neymar, Hazard, Ronaldo, Messi n.k huenda tungeshuhudia Penalty siku ile.
-2010 Inter Milan iliingia uwanjani ikiwa na akili ya kupark Bus tuu, na ni kweli walizuia wote mpaka Samuel Eto'o. Mashambulizi kuelekea Golini kwao yalikuwa ni makali sana na wakaanza kutumia mbinu chafu ili kuwapunguz nguvu Barca, rejea hata Real Madrid, Chelsea, Atletico Madrid n.k wakitaka kuizima Barca na Messi wao ni lazima waingie uwanjani wakiwa na mbini chafu. Ni timu nzima kama sikosei ktk hii Game walibeba kadi za njano.
-2016 sio mara ya kwanza Atletico kuchukua kadi za njano nyingi akienda Camp Nou au akicheza na Real Madrid. Ni mtu asiyecheza mpira pekee ndiye atakayesema kuwa Toress kaonewa ktk ile kadi. Alishapewa kadi ya njano ya kwanza, akaja akacheza rafu kwa nyuma. Na rafu yoyote ukimchezea mtu kwa nyuma ni LAZIMA KADI ITOKE, wengine wakasema Toress alijikwaa, hivi toka lini mtu ukajikwaa mguu wa kulia na ukaangukia mguu huohuo?
HITIMISHO
- Kasi ya Barca kwa timu p?inzani ni lazima iwape shida, tena saaana. Yaani kumzuia Messi, Iniesta, Alves, Busquets, Alba na kwa sasa kuna Neymar ni ngumu sana, unaweza ukaona ni rahisi kama hujawahi kuvaa viatu na kucheza mpira. Hawa jamaa style yao ya soka ni kali sana kwa timu pinzani.
Sema refa in general alikuwa fair sana, mi nilipenda ineista kutopewa kadi nyekundu kwani barca wangepata excuse, unajua yule refa ni mzoefu saana, halafu alishachezesha gemu nyingi za atletico, alichokosea ni zile additions minutes kuwa nyingi zaidipamoja na hayo kaongeza dk 3 za majeruhi lkn kachezesha hadi dk 96 wangepata bao barca dk 94 au 95 c angekua kashawazulumu? bado red card ya iniesta
Hata yule anaeonesha ubao wa kuongeza muda sijui alighafirika? Labda litakuwa ni kosa la watangazaji wa TV lakini TV niliokuwa naanagalia haikuonyesha muda wanyongeza.pamoja na hayo kaongeza dk 3 za majeruhi lkn kachezesha hadi dk 96 wangepata bao barca dk 94 au 95 c angekua kashawazulumu? bado red card ya iniesta
Jana Barcelona walifungwa kwa kuwa mchezaji wao hatari na tegemezi hakucheza vizuriSema refa in general alikuwa fair sana, mi nilipenda ineista kutopewa kadi nyekundu kwani barca wangepata excuse, unajua yule refa ni mzoefu saana, halafu alishachezesha gemu nyingi za atletico, alichokosea ni zile additions minutes kuwa nyingi zaidi
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaJana Barcelona walifungwa kwa kuwa mchezaji wao tegemezi hakucheza vizuri
mchezaji huyo ni refa
hapa hatuzungumzii single case mkuu, nimetoa visa vingi tu hapo2006 red card ya Del Horno, mtu anakiri ni reckless challenge halafu bado anamlalamikia refa! Mourinho hajawahi kuwa muungwana anaposhindwa, siku zote ni msema hovyo, hakuna mshabiki wa kweli wa soka atakubaliana na ule utumbo alioongea juu ya Messi baada ya mechi ile. Barca mara nyingi inaonyesha ukomavu mkubwa na moyo wa kimichezo. Hebu tuwe wakweli ingekuwa ni timu ya uingereza au Madrid ya Mourinho iliyonyimwa penalti kama ilivyofanyika juzi dhidi ya Barca ungesikia kelele kwa miaka kadhaa kuhusu hilo. Lakini kwa Barca kocha wao na wachezaji wao wanakwambia 'potezea, hayo yanatokea kwenye soka hatuwezi kusingizia hilo kwa kushindwa kwetu' Bonge la uanamichezo. Siyo unashindwa unatafuta visingizio hadi kero. Kama kuna timu inataka kujilinganisha na Barca, basi ijifunze kukubali inaposhindwa.