UEFALONA: Maamuzi ya utata yaliyobeba Barcelona UEFA tangia mwaka 2005

Refa muitaliano leo wameweka sio wale marefa mamama ka wa Sweden sijui au wapi,dunia ililalamika last week
 
Dice tu iliwaangukia kwa wahuni wa Calderón pamoja na hvyo wamekuwa watu wa mbinu mbinu tu za ujanja ujanja najua wengi mnawapenda ila leo wamekutana na wahuni harisi kama walivyowanyonyoa 2014/15,Na refa wa leo muitaliono kauzu wangepata walau tuta mwishoni kawakazia kawaambia pigeni free kick,all in all leo zamu yetu kula raha tusiowapenda Barca na MSN yao.
 
Barca leo wamebebwa lakini wameshindwa kubebeka
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
kwa mfano:
Pique alitakiwa apewe card pale alimshika mchezaji wa Atletico kwenye 18 kisha Atletico kupewa penalt.

Iniesta pia alitakiwa apewe red card pale alishika mpira baada ya kuona umeshampita.
 
Ingekuwa timu ya uefa si ingepangiwa na man city,PSG,Wolfsburg au benifica
ile draw inafanyikaga live hivyo kubebwa ni haiwezekani, ingekuwa inafanyika kwa siri wangepangiwa vilaza pengine
 
Pointless hyo mkuu,kwan mpira hauchezwi live???vipi mbna kuna kashfa za upangaji matokeo??

sasa draw ni kitu ambacho kipo straight forward na kinashudiwa na watu kibao utambebaje mtu
 
refa wa leo naona alikua fair kidogo, ni kutokana na kelele za wadau wa soka kuhusu kubebwa kwa hawa jamaa
pamoja na hayo kaongeza dk 3 za majeruhi lkn kachezesha hadi dk 96 wangepata bao barca dk 94 au 95 c angekua kashawazulumu? bado red card ya iniesta
 
Na ile kadi aliyepewa Del horno, chelse vs barca, na penalts nne ( 2009)za Chelsea zile zilikuwa penalts za wazi , kusema ana nguvu hawezi kundondoka hiyo sio sahihi
 
pamoja na hayo kaongeza dk 3 za majeruhi lkn kachezesha hadi dk 96 wangepata bao barca dk 94 au 95 c angekua kashawazulumu? bado red card ya iniesta
Sema refa in general alikuwa fair sana, mi nilipenda ineista kutopewa kadi nyekundu kwani barca wangepata excuse, unajua yule refa ni mzoefu saana, halafu alishachezesha gemu nyingi za atletico, alichokosea ni zile additions minutes kuwa nyingi zaidi
 
pamoja na hayo kaongeza dk 3 za majeruhi lkn kachezesha hadi dk 96 wangepata bao barca dk 94 au 95 c angekua kashawazulumu? bado red card ya iniesta
Hata yule anaeonesha ubao wa kuongeza muda sijui alighafirika? Labda litakuwa ni kosa la watangazaji wa TV lakini TV niliokuwa naanagalia haikuonyesha muda wanyongeza.
 
Sema refa in general alikuwa fair sana, mi nilipenda ineista kutopewa kadi nyekundu kwani barca wangepata excuse, unajua yule refa ni mzoefu saana, halafu alishachezesha gemu nyingi za atletico, alichokosea ni zile additions minutes kuwa nyingi zaidi
Jana Barcelona walifungwa kwa kuwa mchezaji wao hatari na tegemezi hakucheza vizuri
mchezaji huyo ni refa
 
Barca ndio timu isoyopendwa na watu wenye maslahi kutokana na mfumo wa uendeshaji wa timu na wanabaguliwa toka Spain na ulaya hao ndio wazungu propaganda tu hizo
 
2006 red card ya Del Horno, mtu anakiri ni reckless challenge halafu bado anamlalamikia refa! Mourinho hajawahi kuwa muungwana anaposhindwa, siku zote ni msema hovyo, hakuna mshabiki wa kweli wa soka atakubaliana na ule utumbo alioongea juu ya Messi baada ya mechi ile. Barca mara nyingi inaonyesha ukomavu mkubwa na moyo wa kimichezo. Hebu tuwe wakweli ingekuwa ni timu ya uingereza au Madrid ya Mourinho iliyonyimwa penalti kama ilivyofanyika juzi dhidi ya Barca ungesikia kelele kwa miaka kadhaa kuhusu hilo. Lakini kwa Barca kocha wao na wachezaji wao wanakwambia 'potezea, hayo yanatokea kwenye soka hatuwezi kusingizia hilo kwa kushindwa kwetu' Bonge la uanamichezo. Siyo unashindwa unatafuta visingizio hadi kero. Kama kuna timu inataka kujilinganisha na Barca, basi ijifunze kukubali inaposhindwa.
 
hapa hatuzungumzii single case mkuu, nimetoa visa vingi tu hapo
 
Mkuu real G, ili viwe vingi lazima vitengenezwe na kimojakimoja ukiwa mkweli hutachukulia wingi wa visa vinavyotofautiana kabisa ukaviweka pamoja ili kuhalalisha hoja unayojaribu kuijenga! Nimeona kwenye bandiko hilo eti mchezaji anamfanyia mpinzani wake faulo kutokea nyuma akionyeshwa kadi watu wanalalamika! Kweli mkuu?! Unapomnukuu Mourinho ambaye pamoja na kuwa ni kocha mzuri, anajulikana hajawahi kuwa muungwana anaposhindwa na timu kubwa, unakuwa uko serious kweli au ni ushabiki usiojali uhalisia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…