Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Ndugu zangu habarini za hapa jamvini....!
Musoma yetu niliwamisi sana hapa jamvini. Ni takribani miaka 4 sikuwa active humu, mara ya mwisho ilikuwa 2021!
Ni mengi tumepitia hii nchi toka 2015_2024! Nilichogundua
1) Wananchi wanaipenda nchi yao, ila viongozi wengi hawana mlengo huo! Wapo kimaslai zaidi kuliko ustawi wa nchi.
2) Wangekuwa wanapenda ustawi wa wananchi, wangelikaa chini na kutafakari wananchi wanataka nini, kupitia yale maoni ya tume ya warioba.
3) Maisha ya wananchi wengi ni mabaya sana! Poverty rate imerudi juu, yaani U$ 2.7 kama kima cha matumizi ya siku kwa mwananchi wa chini, idadi imeongezeka hata kufikia 85%!
4) Utofauti wa maskini na matajiri umeongezeka sana. Hakuna afadhali ya jana!
5) Mikakati ya kujikomboa hakuna kabisa kutoka kwenye hii hali! Kilichobaki hata mayowe humu hayasaidiii! Salary slip, erythromycin, ethyrocite wamepiga kelele sana humu toka 2014, lakini hamna lolote!
6) What is the way forward? Tanzania imebadilika kuwa TANZIA kila mahali! Viongozi hamuogopi Mungu??? Nyie hamtakufa? Mbona nchi yetu sote! Kwa nini kila mtu asipate kukenua meno akifurahia nchi yake? Why nyie viongozi wachache mtupe simanzi na majonzi kwenye mioyo yetu kila siku?