Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

manboy

Member
Joined
Jun 30, 2025
Posts
10
Reaction score
5
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni mnisaidie kwa anayefahamu MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC in south Africa tafadhali maana ni ndiyo yangu kusoma huko.

Nimemaliza form six mwaka 2024 nikiwa na division one of points six , A in chemistry, B in physics and C in education.
 
Kupata scholarships baada ya a level hakikisha uwe una ufaulu wa juu kabisa. Nakushauri soma degree nyumbani ndio iombe scholarships.
 
Kupata scholarships baada ya a level hakikisha uwe una ufaulu wa juu kabisa. Nakushauri soma degree nyumbani ndio iombe
Nashukuru kiongozi, duh mbona ni hatar, kwahiyo unamaanisha kwamba kwa ufaulu huo kupata scholarships ngazi ya bachelor uwezekano ni mdogo sana
 
Nashukuru kiongozi, duh mbona ni hatar, kwahiyo unamaanisha kwamba kwa ufaulu huo kupata scholarships ngazi ya bachelor uwezekano ni mdogo sana
Mimi katika experience yangu waliopata scholarship baada ya kumaliza form six walikuwa top ten ya kitaifa. Lakini unaweza kujaribu kwa kuangalia Sehemu mbali mbali ila ni ngumu.
 
Mimi katika experience yangu waliopata scholarship baada ya kumaliza form six walikuwa top ten ya kitaifa. Lakini unaweza kujaribu kwa kuangalia Sehemu mbali mbali ila ni ngumu.
Daah aisee mbona ni hatari sasa kwahiyo uwezekano wa kupata ni mdogo sana hiyo scholarship
 
Back
Top Bottom