Uelewa wa Celebrities Tanzania unatia mashaka

Uelewa wa Celebrities Tanzania unatia mashaka

Lulu anapenda its like eh u know nyiiiingiiiiiiii.

Lulu form 4 yule! Tusiwe wanafiki tu ni kweli hajui kuongea kingereza na wapo wengi wakiwemo wakina jack cliff..... the the the nyingiiiiii! Ongea kiswahili lugha yako kwa uhuru kabisa
 
Acha kudanganya uma.
Wazungu wanatumia sana actress wanapoongelea muigizaji mwanamke.

Ni kweli.... Miaka ya nyuma... Lakini siku hizi especially Marekani wamekuwa wakitumia actor. Search ma-actress mbalimbali kwenye wikipedia. Utaona wengine wameandikwa km actor. Nikipata vivid example nitapost. They say it has something to do with equality( or something like that)
 
Actress ni mwigizaji mwenye jinsia ya kike full stop. Hakuna tafasiri nyingine huamini google!

Siyo google... Tafuta kwenye dictionary zilizopitishwa kabisa. Especially latest versions. Do research. Hata kwenye tv kubwa marekani kama vile E! Wanatumia actor. Not all the time, but nowadays, most of the time
 
Mimi naona uelewa wa mleta uzi ndio tuutilie shaka.
Kwa mujibu wa Longman dictionary of contemporary english, actor is someone who performs in a play, film or television programme.
Actress is a woman who performs in a play, film or television programme.
Kama actor angekuwa mwanaume peke yake wangesema;
Actor is a man who performs in a play...

Kama ingeonekana kwenye page ya Ray Kigosi (mfano tu) amejitaja kama actress ndio angekuwa kakosea.
 
Mimi naona uelewa wa mleta uzi ndio tuutilie shaka.
Kwa mujibu wa Longman dictionary of contemporary english, actor is someone who performs in a play, film or television programme.
Actress is a woman who performs in a play, film or television programme.
Kama actor angekuwa mwanaume peke yake wangesema;
Actor is a man who performs in a play...

Kama ingeonekana kwenye page ya Ray Kigosi (mfano tu) amejitaja kama actress ndio angekuwa kakosea.

Siwezi kukubishia maana mambo mengi yamehalalishwa visivyo kwenye shule za kata.

Endelea tu kujifurahisha.
 
Kutoka Merriam-Webster Dictionary
 

Attachments

  • 1410795728329.jpg
    1410795728329.jpg
    92.7 KB · Views: 129
Actress
 

Attachments

  • 1410796109009.jpg
    1410796109009.jpg
    46.6 KB · Views: 120
unakosoa kitu ambacho hujui?

Kate Samwel likes Wema Sepetu.
Yesterday at 5:00pm ·
Wema Sepetu
Actor/Director · 159,862 Likes


1506030_246960962142933_1401026808_n.jpg



Ndugu wana bodi,
Picha hapo juu nimecopy kama ilivyo kule facebook na kuileta kwenye jukwaa hili niulize, kuna shida gani katika uelewa wa Celebrities hapa bongo? Yaani ukurasa wa Mrembo Wema Sepetu, anajiita "Actor"

Kweli? Ina maana amekosea au hajui tofauti ya Actor and Actress au ndo hivyo, ni ule uTZ wetu tu wa kupelekapeleka tu mambo yetu bora liende... Halafu si yeye tu kuna na mwingine nimemsahau sijui nani....Same story!!!

Badilikeni, kama mna mameneja watumieni, mhakikishe unapotoa kitu chako kifanane na umaarufu wenu!! No wonder watu wananwaponda!!!

Weekend njema.

hahahahahaaa jamani anaekosoa nae hajui, hadi huruma yani.
 
Wema Sepetu ana jinsia zote mbili, kwa hiyo msigombane mkatoana macho bure hapa.
 
Heri yako wewe unayejua!!

Acheni mapenzi yaliyopitiliza.

Haaaah!!!!!!, kumbe unafikiri tunasema wema hajakosea out of love???? poor you , of coz kama angekua amekosea tungemchana haswaaaa, tena wana jf wanavyojua kuchamba hawa wanaojiita macelebrity mbona angekoma, BUT she is rit, ndio maana tunakuchamba wewe sasa, mbuta nanga, kumbe bado huelewi??? NO HELP!!!!
 
Mwanaume akijiita actress amekosea lakini mwanamke kujiita actor yuko sahihi! Period! Elimu ya kukariri sio nzuri wakuu, tujifunze kucheza na maneno!
 
Mh kwa uelewa wangu yuko sahihi kwa sababu unaposema Actor inamaanisha ni muiguzaji bila ya kujali jinsia , Hilo actress naona hata wazungu wenyewe hawalitumii sana .Lugha pana sana jamani tusikariri sana

yes!An Actor is someone whose job is acting in plays or films.'Actor' in the singular usually refers to a man but some women who act prefers to be called 'actors' rather than 'actresses'
 
Back
Top Bottom