Uelewa wa Katiba kati ya Vijana wa Tanzania na Kenya

Bongo hatuko ratinal, ngono tu
 
Vijana wana mambo ya kijinga sana ni wachache wanajitambua...

Unakuta kijana yupo biz na gemu yaan ujinga ujinga tu
Ujinga ni mtaji wa CCM, akina Mwigulu wanafurahia kutawala manyangarakasha ndiyo sababu haishi kusema hamieni Burundi na sasa hamieni Marekani akiamini Tanzania ni mali ya CCM.
 
Nahizi je, "Asilimia 83.0 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wanajua kusoma na kuandika ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022".
 
Kuna ukweli,

Lakini nauliza, watu kupenda mambo wanayopinda kosa lao inakuwa nini mpaka wawe "stupid fans"?
 
Nahizi je, "Asilimia 83.0 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wanajua kusoma na kuandika ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022".
Hizi ziko Sawa kabisa. Kwa nchi yetu it's like wamepuuza elimu wamejikita Kwenye kusoma na kuandika
 
Kuna ukweli,

Lakini nauliza, watu kupenda mambo wanayopinda kosa lao inakuwa nini mpaka wawe "stupid fans"?
Yani you are broke afu una mambo unayo penda? Brother unapata faida gan yang na Simba ziki win cups? Since 2000 mpaka leo ? Will that help you to drive Audi?
 
Tumefanya nao kazi hao wakenya.weupe tu hamna kitu
 
I

I'm a boss

Mitanganyika mnachekesha sana, kila mtu anaona wenzake wajinga isipokua yeye afu yeye mwenyewe hamna kitu kafanya zaidi ya hao wenzake na kuandika mitandaoni tu πŸ˜‚πŸ˜‚ you're no different mate.

Mitanganyika kazi mnayoweza ni kusifia wakenya tu na ukeyboard warriors tu. Nyoka kibisa
 
Tatizo ni kuhisi kila mtu yuko Kama wew tafuta Kaz ufanye
 
Hizi takwimu ulifanya research. Basi tutumie proposal tuione na reoort yako please.
 
Tafuta kazi ufanye mzee umasikini utakuua unaongea Kwa uchungu sanaaa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ila uliyeandika nawe si ulipitia hatua za ujana mbona hukujikomboa mda mwingine kabla hujaongea onyesha mfano
 
Hizi ziko Sawa kabisa. Kwa nchi yetu it's like wamepuuza elimu wamejikita Kwenye kusoma na kuandika
Ninarudia tena, soma vizuri uelewe kisha ujumlishe asilimia 86 na asilimia 79 utapata asilimia ngapi. "ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…