Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Bongo hatuko ratinal, ngono tuKenya katika kundi la vijan 10
6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School
2 wanajua kuhusu IT
1-2 wana elimu haswa
LAKINI TANZANIA
Katika vijana 10, 8 ni mashabiki wa mpira wa Simba na yanga Stupid fans
2 ni C.C.M ambassador
Poor Tanzania