Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
🤣🤣🤣🤣🤣 Imebidi nijicheke Kwanza.Ninarudia tena, soma vizuri uelewe kisha ujumlishe asilimia 86 na asilimia 79 utapata asilimia ngapi. "ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022".