Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

Ndio maana nakuita ãsshóle unasahau hata umeandika nini
 
Hapa umeandika kwa hisia badala ya commom sense

Hao wanachama wenye 51% wanauwezo hata wa kuchangia hiyo 2B?
 
Nyie mbona Rage aliendelea kuwa mwenyekiti wenu licha ya kuwaita mbumbumbu?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hapa umeandika kwa hisia badala ya commom sense

Hao wanachama wenye 51% wanauwezo hata wa kuchangia hiyo 2B?
Nia ilikuwepo ya kuchanga miongoni mwa wanachama ambao wanashikiria asilimia hizo 51 kama tulivyoona wakishiriki kwenye mchakato(hapa wameplay part yao) ajabu ni kwamba mtu anayepata faida ya gawio la kampuni asilimia 49 kwenye suala la company assets purchasing anatoa asilimia 2 ya pato lake wakati kisheria alitakiwa atoe fund kulingana na asilimua za share zake..Hapo ilitakiwa gharama za uwanja zitafutwe then kwenye zile gharama alitakiwa achangie asilimia 49 wanachama ni 51 iwe wana uwezo wa kuchanga kwa hizo asilimia 51 au hawana hilo halimuhusu yeye kashacover nafasi yake..ila kwakuwa Simba kuna mambumbumbu kama kawaida ambao ndio mtaji wa mudi hakuna ambaye anaweza kuhoji
 
Pesa alizotumia kuiweka timu kwenye rotation ilikuwa ni yake kutoka mfukoni au ni shared na hao 51%?

Hizi timu zina mashabiki wengi lakini Wewe na mimi wote tunaelewa hakuna mashabiki wenye nguvu ya kuchanga kufikia digits hizo ambazo wewe una beza

Let say MO angesema toeni mchango unaoendana na hisa zenu halafu the rest namalizia. Hivi unafikiri wangechanga shingapi?
 
Kolo bhanaaaa, hata kama tulitukanwa na Morrison, na Manara, sie fresh tuu, kwani wewe unaumiaje??
...Na je unateseka ukiwa hapo madukani kariakoo sio? Endelea kuteseka tuuuu na umbumbumbu (kwa mujibu wa mzee Rage)
 
Yote uliyosema ni sawa.

Ila hili hapa chini wala sio inshu sana

Kufarahia usajili wa Morrison licha ya matusi dharau na kejeli zote alizowafanyia na hela wakamlipa kama fidia kumbuka duniani kote hakuna mchezaji mkubwa kushinda club.
 
Nyie mbona Rage aliendelea kuwa mwenyekiti wenu licha ya kuwaita mbumbumbu?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hebu nikumbushe ni kitu gani mlianzisha yanga simba wakaiga ila nyinyi kutambulisha wachezaji mmeiga kwa simba siku ya mwananchi ni zao la simba day ujenzi wa uwanja ni baada ya kuwasikia simba mabadiliko ya uendeshaji ni wazo la simba licha ya yote mkamchukua senzo kocha wa makipa kutoka simba na msekule manara simba wamemchukua nani kutoka yanga halafu mnasema mna akili hzo akili mnazitoa wapi kenge nyie subirini simba wabuni kingine muige.
 
Hapo ndipo mnapojichanganyaga mashabiki wa Simba na kushindwa kuhoji vitu vidogo kama hivyo eti kisa anatoa hela yake mfukoni,kutoa hela mfukoni hiyo ni wajibu wake kama ilivyoandikwa kwenye mkataba walioingia maana asilimia 51 za wanachama tayari zimeshaijenga timu kwa assets inazozimiliki kumbuka Mo kaingia pale assets zote kazikuta hadi hapo mchango wa shareholders wa asilimia 51 unaonekana na ndio maana yeye anaitwa mwekezaji kwakuwa anawekeza fedha...

Kuhusu michango kwenye nia kuna njia,simba ina assets nyingi wangeweza kuziweka rehani na kuchukua mkopo benk kwa ishu ya kujenga uwanja na ingewezekana pale ambapo na Mo angeweka fedha kulingana na asilimia zake..sasa yeye mwenzetu kalala kaamka kajipangia fedha ya kuchanga bila kufuata taratibu kama hizi
 
 
Nakuunga mkono unachosema.

Tangu mwaka 1935 Yanga SC iasusiwe mpaka hii leo HAIJAWAHI kushinda hata mechi moja kwenye michuano ya CAF.

Hivyo basi haitokuja kushinda hata mechi moja MPAKA Yesu atakapo rudi.
tangu 1935 haei leo ina alama 0.5. Team ya kipumbavu yanazidiwa hadi na namungo wana alama 2. Mataahira.
 
Mashabiki wengi wa uto ni vilaza
 
Rage aliwaita mbumbumbu unajua sababu iliyofanya awaite mbumbumbu?
 
Yanga 1935 Simba 1936 nani kamuiga mwenzake
 

Sote tunatambua kuwa alipunguziwa mshahara kwa kuwa msimamizi wa mirathi “mo dewji” aliambiwa na familia kuwa apunguze matumizi ya pesa za familia kwenye masuala ya michezo.

[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…