Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

Bwege kweli treble alimaanisha ni kuchukua kombe msimu mitatu mfululizo hivi mashabiki wa yanga akili zenu ni za kuvukia bara bara tu halafu yule albino ndo anawaingiza chaka hamjui yule ni simba yupo pale kama lowasa alivyoenda chadema tu anawachora.
Ndio maana nakuita ãsshóle unasahau hata umeandika nini
IMG_20220712_192914.jpg
 
Wote mashabiki wa simba na yanga ni pipa na mfuniko wake hata nyie simba ni mambumbumbu pia maana mashabiki wanaojielewa hawawezi kuchangishwa hela ya ujenzi wa uwanja na mwekezaji mwenye asilimia 49 huku yeye akitoa billioni 2 badala ya kuchangia asilimia 49 ya mchango wa ujenzi wa uwanja kulingana na asilimia zake kama sheria za makampuni zinavyosema
Hapa umeandika kwa hisia badala ya commom sense

Hao wanachama wenye 51% wanauwezo hata wa kuchangia hiyo 2B?
 
Habari za wakati huu mashabiki wa kandanda Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla.

Nchini kwetu tumebarikiwa kuwa na league bora na yenye ushindani kushinda zote afrika mashariki ila Simba na Yanga wakiwa wakubwa katika kulitangaza soka la Tanzania japokuwa baadhi ya mashabiki wa hizi team ni bendera fuata upepo hasa wa yanga kwasababu zifuatazo:‐

Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wageni wanaokuja kucheza na Simba huo ni umbumbu wa hali ya juu kutokea kwa mashabiki hao.

Kufarahia usajili wa Morrison licha ya matusi dharau na kejeli zote alizowafanyia na hela wakamlipa kama fidia kumbuka duniani kote hakuna mchezaji mkubwa kushinda club.

Kukubali na kuaminishwa kuwa wameshinda treble wakati kisheria wameshinda makombe mawili maana lile la ngao ya jamii halihesabiki kama ni kombe maana sio competition ni mechi ya ufunguzi tu.

Kudanganywa kuwa team yao haianzi hatua ya awali katika CAF is league na wakakubali mpaka walipofafanuliwa vizuri na mashabiki wa Simba SC.

Kumpokea manara licha ya kuwatukana na kuwakejeli alipokuwa Simba na kusema mashabiki wa yanga wenye akili ni mzee kikwete na babaake manara tu.

Kumponda kocha wa simba kuwa huduma na team wakasahau kocha wao wa yanga hajawahi kudumu kwa zaidi ya miezi sita kwenye team huku yanga ikiwa team ya kwanza kwa kocha nabi kuhudumu kwa muda mrefu.

Kupondo kila kitu kinachoanzishwa na simba na yanga baadae wanaiga kwa kufanya walichokuwa wanaponda mfano (SIMBA DAY,UJENZI WA UWANJA,MFUMO WA MABADILIKO WA UENDESHAJI TEAM. NK)

Kwenda airport kuwabeba wachezaji waliosajiliwa na team yao pamoja na mwenyekiti wao ambaye sasa ni raisi wa club ndugu zangu wenye akili timamu hawawezi kufanya hayo.

Kushangilia usajili wa wazee katika club yao wakati huo huo wanataka kufanya vizuri kimataifa wakisahau kuwa vijana ndo nguzo muhimu katika soka la sasa huku wakiwaponda simba wakisajili vijana wakidai akili zao hazijakomaa hawaoni ulaya kule,
MAN CITY,BARCELONA NA REAL MADRID wamejaa watoto kibao hyo yote ni kwa malengo ya mda mrefu sio mnaokata wachezaji waliokosa team ambao hawajacheza mda mrefu ndo mnasajili kweli manara na lucy aymel hawakukosea kuwaita nyani na mazuzu.

Nawakumbusha tu wana yanga kimataifa kule hakuna mkuu wa wilaya wala mkuu wa mkoa anayeahidi kuwapa million 10 wachezaji wakiifunga SIMBA.

NB: yanga ikishinda hata mechi moja kimataifa mje mnikamate nimekaa pale kwenye maduka ya Simba kkoo.
Nyie mbona Rage aliendelea kuwa mwenyekiti wenu licha ya kuwaita mbumbumbu?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Nia ilikuwepo ya kuchanga miongoni mwa wanachama ambao wanashikiria asilimia hizo 51 kama tulivyoona wakishiriki kwenye mchakato(hapa wameplay part yao) ajabu ni kwamba mtu anayepata faida ya gawio la kampuni asilimia 49 kwenye suala la company assets purchasing anatoa asilimia 2 ya pato lake wakati kisheria alitakiwa atoe fund kulingana na asilimua za share zake..Hapo ilitakiwa gharama za uwanja zitafutwe then kwenye zile gharama alitakiwa achangie asilimia 49 wanachama ni 51 iwe wana uwezo wa kuchanga kwa hizo asilimia 51 au hawana hilo halimuhusu yeye kashacover nafasi yake..ila kwakuwa Simba kuna mambumbumbu kama kawaida ambao ndio mtaji wa mudi hakuna ambaye anaweza kuhoji
 
Pesa alizotumia kuiweka timu kwenye rotation ilikuwa ni yake kutoka mfukoni au ni shared na hao 51%?

Hizi timu zina mashabiki wengi lakini Wewe na mimi wote tunaelewa hakuna mashabiki wenye nguvu ya kuchanga kufikia digits hizo ambazo wewe una beza

Let say MO angesema toeni mchango unaoendana na hisa zenu halafu the rest namalizia. Hivi unafikiri wangechanga shingapi?
 
Habari za wakati huu mashabiki wa kandanda Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla.

Nchini kwetu tumebarikiwa kuwa na league bora na yenye ushindani kushinda zote afrika mashariki ila Simba na Yanga wakiwa wakubwa katika kulitangaza soka la Tanzania japokuwa baadhi ya mashabiki wa hizi team ni bendera fuata upepo hasa wa yanga kwasababu zifuatazo:‐

Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wageni wanaokuja kucheza na Simba huo ni umbumbu wa hali ya juu kutokea kwa mashabiki hao.

Kufarahia usajili wa Morrison licha ya matusi dharau na kejeli zote alizowafanyia na hela wakamlipa kama fidia kumbuka duniani kote hakuna mchezaji mkubwa kushinda club.

Kukubali na kuaminishwa kuwa wameshinda treble wakati kisheria wameshinda makombe mawili maana lile la ngao ya jamii halihesabiki kama ni kombe maana sio competition ni mechi ya ufunguzi tu.

Kudanganywa kuwa team yao haianzi hatua ya awali katika CAF is league na wakakubali mpaka walipofafanuliwa vizuri na mashabiki wa Simba SC.

Kumpokea manara licha ya kuwatukana na kuwakejeli alipokuwa Simba na kusema mashabiki wa yanga wenye akili ni mzee kikwete na babaake manara tu.

Kumponda kocha wa simba kuwa huduma na team wakasahau kocha wao wa yanga hajawahi kudumu kwa zaidi ya miezi sita kwenye team huku yanga ikiwa team ya kwanza kwa kocha nabi kuhudumu kwa muda mrefu.

Kupondo kila kitu kinachoanzishwa na simba na yanga baadae wanaiga kwa kufanya walichokuwa wanaponda mfano (SIMBA DAY,UJENZI WA UWANJA,MFUMO WA MABADILIKO WA UENDESHAJI TEAM. NK)

Kwenda airport kuwabeba wachezaji waliosajiliwa na team yao pamoja na mwenyekiti wao ambaye sasa ni raisi wa club ndugu zangu wenye akili timamu hawawezi kufanya hayo.

Kushangilia usajili wa wazee katika club yao wakati huo huo wanataka kufanya vizuri kimataifa wakisahau kuwa vijana ndo nguzo muhimu katika soka la sasa huku wakiwaponda simba wakisajili vijana wakidai akili zao hazijakomaa hawaoni ulaya kule,
MAN CITY,BARCELONA NA REAL MADRID wamejaa watoto kibao hyo yote ni kwa malengo ya mda mrefu sio mnaokata wachezaji waliokosa team ambao hawajacheza mda mrefu ndo mnasajili kweli manara na lucy aymel hawakukosea kuwaita nyani na mazuzu.

Nawakumbusha tu wana yanga kimataifa kule hakuna mkuu wa wilaya wala mkuu wa mkoa anayeahidi kuwapa million 10 wachezaji wakiifunga SIMBA.

NB: yanga ikishinda hata mechi moja kimataifa mje mnikamate nimekaa pale kwenye maduka ya Simba kkoo.
Kolo bhanaaaa, hata kama tulitukanwa na Morrison, na Manara, sie fresh tuu, kwani wewe unaumiaje??
...Na je unateseka ukiwa hapo madukani kariakoo sio? Endelea kuteseka tuuuu na umbumbumbu (kwa mujibu wa mzee Rage)
 
Yote uliyosema ni sawa.

Ila hili hapa chini wala sio inshu sana

Kufarahia usajili wa Morrison licha ya matusi dharau na kejeli zote alizowafanyia na hela wakamlipa kama fidia kumbuka duniani kote hakuna mchezaji mkubwa kushinda club.
 
Nyie mbona Rage aliendelea kuwa mwenyekiti wenu licha ya kuwaita mbumbumbu?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hebu nikumbushe ni kitu gani mlianzisha yanga simba wakaiga ila nyinyi kutambulisha wachezaji mmeiga kwa simba siku ya mwananchi ni zao la simba day ujenzi wa uwanja ni baada ya kuwasikia simba mabadiliko ya uendeshaji ni wazo la simba licha ya yote mkamchukua senzo kocha wa makipa kutoka simba na msekule manara simba wamemchukua nani kutoka yanga halafu mnasema mna akili hzo akili mnazitoa wapi kenge nyie subirini simba wabuni kingine muige.
 
Pesa alizotumia kuiweka timu kwenye rotation ilikuwa ni yake kutoka mfukoni au ni shared na hao 51%?

Hizi timu zina mashabiki wengi lakini Wewe na mimi wote tunaelewa hakuna mashabiki wenye nguvu ya kuchanga kufikia digits hizo ambazo wewe una beza

Let say MO angesema toeni mchango unaoendana na hisa zenu halafu the rest namalizia. Hivi unafikiri wangechanga shingapi?
Hapo ndipo mnapojichanganyaga mashabiki wa Simba na kushindwa kuhoji vitu vidogo kama hivyo eti kisa anatoa hela yake mfukoni,kutoa hela mfukoni hiyo ni wajibu wake kama ilivyoandikwa kwenye mkataba walioingia maana asilimia 51 za wanachama tayari zimeshaijenga timu kwa assets inazozimiliki kumbuka Mo kaingia pale assets zote kazikuta hadi hapo mchango wa shareholders wa asilimia 51 unaonekana na ndio maana yeye anaitwa mwekezaji kwakuwa anawekeza fedha...

Kuhusu michango kwenye nia kuna njia,simba ina assets nyingi wangeweza kuziweka rehani na kuchukua mkopo benk kwa ishu ya kujenga uwanja na ingewezekana pale ambapo na Mo angeweka fedha kulingana na asilimia zake..sasa yeye mwenzetu kalala kaamka kajipangia fedha ya kuchanga bila kufuata taratibu kama hizi
 
Adhabu aliyopewa na simba ni kupunguziwa mshahara na mwisho akaachwa bila team hakuna mchezaji mkubwa kushinda club duniani kote simba to the next level sio mchezaji anajiona yeye hawezi kufanywa lolote Morrison licha ya kuwasaidia simba kwenye CAF champion's league lakini wamemuacha hayo ndo mabadiliko tunayo yataka kwenye soka la Tanzania.
 
Nakuunga mkono unachosema.

Tangu mwaka 1935 Yanga SC iasusiwe mpaka hii leo HAIJAWAHI kushinda hata mechi moja kwenye michuano ya CAF.

Hivyo basi haitokuja kushinda hata mechi moja MPAKA Yesu atakapo rudi.
tangu 1935 haei leo ina alama 0.5. Team ya kipumbavu yanazidiwa hadi na namungo wana alama 2. Mataahira.
 
Mashabiki wengi wa uto ni vilaza
Habari za wakati huu mashabiki wa kandanda Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla.

Nchini kwetu tumebarikiwa kuwa na league bora na yenye ushindani kushinda zote afrika mashariki ila Simba na Yanga wakiwa wakubwa katika kulitangaza soka la Tanzania japokuwa baadhi ya mashabiki wa hizi team ni bendera fuata upepo hasa wa yanga kwasababu zifuatazo:‐

Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wageni wanaokuja kucheza na Simba huo ni umbumbu wa hali ya juu kutokea kwa mashabiki hao.

Kufarahia usajili wa Morrison licha ya matusi dharau na kejeli zote alizowafanyia na hela wakamlipa kama fidia kumbuka duniani kote hakuna mchezaji mkubwa kushinda club.

Kukubali na kuaminishwa kuwa wameshinda treble wakati kisheria wameshinda makombe mawili maana lile la ngao ya jamii halihesabiki kama ni kombe maana sio competition ni mechi ya ufunguzi tu.

Kudanganywa kuwa team yao haianzi hatua ya awali katika CAF is league na wakakubali mpaka walipofafanuliwa vizuri na mashabiki wa Simba SC.

Kumpokea manara licha ya kuwatukana na kuwakejeli alipokuwa Simba na kusema mashabiki wa yanga wenye akili ni mzee kikwete na babaake manara tu.

Kumponda kocha wa simba kuwa huduma na team wakasahau kocha wao wa yanga hajawahi kudumu kwa zaidi ya miezi sita kwenye team huku yanga ikiwa team ya kwanza kwa kocha nabi kuhudumu kwa muda mrefu.

Kupondo kila kitu kinachoanzishwa na simba na yanga baadae wanaiga kwa kufanya walichokuwa wanaponda mfano (SIMBA DAY,UJENZI WA UWANJA,MFUMO WA MABADILIKO WA UENDESHAJI TEAM. NK)

Kwenda airport kuwabeba wachezaji waliosajiliwa na team yao pamoja na mwenyekiti wao ambaye sasa ni raisi wa club ndugu zangu wenye akili timamu hawawezi kufanya hayo.

Kushangilia usajili wa wazee katika club yao wakati huo huo wanataka kufanya vizuri kimataifa wakisahau kuwa vijana ndo nguzo muhimu katika soka la sasa huku wakiwaponda simba wakisajili vijana wakidai akili zao hazijakomaa hawaoni ulaya kule,
MAN CITY,BARCELONA NA REAL MADRID wamejaa watoto kibao hyo yote ni kwa malengo ya mda mrefu sio mnaokata wachezaji waliokosa team ambao hawajacheza mda mrefu ndo mnasajili kweli manara na lucy aymel hawakukosea kuwaita nyani na mazuzu.

Nawakumbusha tu wana yanga kimataifa kule hakuna mkuu wa wilaya wala mkuu wa mkoa anayeahidi kuwapa million 10 wachezaji wakiifunga SIMBA.

NB: yanga ikishinda hata mechi moja kimataifa mje mnikamate nimekaa pale kwenye maduka ya Simba kkoo.
 
Rage aliwaita mbumbumbu unajua sababu iliyofanya awaite mbumbumbu?
 
Hebu nikumbushe ni kitu gani mlianzisha yanga simba wakaiga ila nyinyi kutambulisha wachezaji mmeiga kwa simba siku ya mwananchi ni zao la simba day ujenzi wa uwanja ni baada ya kuwasikia simba mabadiliko ya uendeshaji ni wazo la simba licha ya yote mkamchukua senzo kocha wa makipa kutoka simba na msekule manara simba wamemchukua nani kutoka yanga halafu mnasema mna akili hzo akili mnazitoa wapi kenge nyie subirini simba wabuni kingine muige.
Yanga 1935 Simba 1936 nani kamuiga mwenzake
 
Adhabu aliyopewa na simba ni kupunguziwa mshahara na mwisho akaachwa bila team hakuna mchezaji mkubwa kushinda club duniani kote simba to the next level sio mchezaji anajiona yeye hawezi kufanywa lolote Morrison licha ya kuwasaidia simba kwenye CAF champion's league lakini wamemuacha hayo ndo mabadiliko tunayo yataka kwenye soka la Tanzania.

Sote tunatambua kuwa alipunguziwa mshahara kwa kuwa msimamizi wa mirathi “mo dewji” aliambiwa na familia kuwa apunguze matumizi ya pesa za familia kwenye masuala ya michezo.

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom