Nyie mbona Rage aliendelea kuwa mwenyekiti wenu licha ya kuwaita mbumbumbu?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Huna akiliAlivyokuwa akikebehi Yanga SC baada ya kushinda Keshi mlimpa adhabu gani kama klabu?
Alivyomchoma bisibisi mshabiki baada ya kutaniwa mlimpa adhabu gani?
Je mlimvunjia mkataba?
Kama HAKUNA kilicho fanyika usijielezee sana.
MAKOLO ni Makolo tu...mnajua kuroga tu na pamoja na kuroga ni hewatangu 1935 haei leo ina alama 0.5. Team ya kipumbavu yanazidiwa hadi na namungo wana alama 2. Mataahira.
MAKOLO mna maarifa sana ya UsajiliUto wanaangamia kwa kukosa maarifa
Hizo unazoziita assets sidhani kama zina huo uwezo wa kusaidia kutatua maswala ya kifedha kwa ajili ya uendeshaji wa timuHapo ndipo mnapojichanganyaga mashabiki wa Simba na kushindwa kuhoji vitu vidogo kama hivyo eti kisa anatoa hela yake mfukoni,kutoa hela mfukoni hiyo ni wajibu wake kama ilivyoandikwa kwenye mkataba walioingia maana asilimia 51 za wanachama tayari zimeshaijenga timu kwa assets inazozimiliki kumbuka Mo kaingia pale assets zote kazikuta hadi hapo mchango wa shareholders wa asilimia 51 unaonekana na ndio maana yeye anaitwa mwekezaji kwakuwa anawekeza fedha...
Kuhusu michango kwenye nia kuna njia,simba ina assets nyingi wangeweza kuziweka rehani na kuchukua mkopo benk kwa ishu ya kujenga uwanja na ingewezekana pale ambapo na Mo angeweka fedha kulingana na asilimia zake..sasa yeye mwenzetu kalala kaamka kajipangia fedha ya kuchanga bila kufuata taratibu kama hizi
Middle fingerFicha ujinga wako
acha upumbavu,na umbumbumbu.Bwege kweli treble alimaanisha ni kuchukua kombe msimu mitatu mfululizo hivi mashabiki wa yanga akili zenu ni za kuvukia bara bara tu halafu yule albino ndo anawaingiza chaka hamjui yule ni simba yupo pale kama lowasa alivyoenda chadema tu anawachora.
wewe ndio mjinga, umejibu comment ya mdau, kupitia Ile picha ya lile fuso, limeandikwa treble. ukasema hiyo treble ni kuchukua kombe mara 3 mfululizo. ndio nakufahamisha, ni kuchukua makombe matatu katika msimu mmoja.acha uboya mbumbumbu fcUsidandie comment angalia ilipoanzia hivi yanga ujinga mtaacha lini yaani mnahesabu mpaka ngao ya jamii [emoji23]
Kabla sijaona hii post yako nilikua naamini mimi ndo Mpumbavu nambari moja kwenye hii forums.Bwege kweli treble alimaanisha ni kuchukua kombe msimu mitatu mfululizo hivi mashabiki wa yanga akili zenu ni za kuvukia bara bara tu halafu yule albino ndo anawaingiza chaka hamjui yule ni simba yupo pale kama lowasa alivyoenda chadema tu anawachora.
Kenge kweli sasa mimi ndo nakufahamisha simba waliandika treble kwa kumaanisha kuchukua kombe la ligi kuu mara tatu mfulilizo sio kama utopolo wana hesabu mpaka ngao ya jamii au bado hujaelewa ni mwite kabwili akueleweshe vizuri treble iliyoandikwa kwenye fuso la simba ina maana tofauti na treble mnayosema yanga.wewe ndio mjinga, umejibu comment ya mdau, kupitia Ile picha ya lile fuso, limeandikwa treble. ukasema hiyo treble ni kuchukua kombe mara 3 mfululizo. ndio nakufahamisha, ni kuchukua makombe matatu katika msimu mmoja.acha uboya mbumbumbu fc