Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

Ismail Aden Rage alikuwa sahihi kabisa kuwaita mbumbumbu.

IMG_0630.jpg
 
Alivyokuwa akikebehi Yanga SC baada ya kushinda Keshi mlimpa adhabu gani kama klabu?

Alivyomchoma bisibisi mshabiki baada ya kutaniwa mlimpa adhabu gani?

Je mlimvunjia mkataba?

Kama HAKUNA kilicho fanyika usijielezee sana.
Huna akili

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika ukweli sana aisee wasipokuwinda wakuue mshukuru Mungu sana [emoji23][emoji23]
 
Makolo Bhn Makombe Yote Tumewavua Ubingwa...Tumecheza Mechi Nne Msimu Uliopita Hamjatufunga Hata Goli La Offside Zaidi Ya Kuambulia Vipigo Na Sare...Hivi Hizo Nguvu Za Kuongea Mnatoa Wapi Aisee! [emoji16]
 
Yani yanga imekua utopolooo alisikika shabiki mmoja wa Yanga.
 
Nyie endeleeni kuanzisha nyuzi za kuidiss Yanga huku kwenu gubu la wifi lishaanza,soon mtajua kama hamjui
IMG-20220711-WA0014.jpg
 
Hapo ndipo mnapojichanganyaga mashabiki wa Simba na kushindwa kuhoji vitu vidogo kama hivyo eti kisa anatoa hela yake mfukoni,kutoa hela mfukoni hiyo ni wajibu wake kama ilivyoandikwa kwenye mkataba walioingia maana asilimia 51 za wanachama tayari zimeshaijenga timu kwa assets inazozimiliki kumbuka Mo kaingia pale assets zote kazikuta hadi hapo mchango wa shareholders wa asilimia 51 unaonekana na ndio maana yeye anaitwa mwekezaji kwakuwa anawekeza fedha...

Kuhusu michango kwenye nia kuna njia,simba ina assets nyingi wangeweza kuziweka rehani na kuchukua mkopo benk kwa ishu ya kujenga uwanja na ingewezekana pale ambapo na Mo angeweka fedha kulingana na asilimia zake..sasa yeye mwenzetu kalala kaamka kajipangia fedha ya kuchanga bila kufuata taratibu kama hizi
Hizo unazoziita assets sidhani kama zina huo uwezo wa kusaidia kutatua maswala ya kifedha kwa ajili ya uendeshaji wa timu

Mara nyingi hizo assets ndio zimekuwa zikiendeshwa kupitia pesa ya huyo huyo mwekezaji yani zenyewe kama zenyewe haziweki kujiendesha.

Usiseme kwenye nia kuna njia, hiyo nia unazungumzia mashabiki au hao wanao run hiyo operation ya mchango kuwa wakijidhatiti kuhamasisha mashabiki basi swala la uwanja litawezekana?

Kama unafikiria hivyo ndugu yangu basi uko mbali na uhalisia, kama katika kipindi kile mashabiki hawakuweza hata kuchanga milion 70 ndio iwe bilion 2?
 
Mimi ni yanga ila kiukweli kocha luc hakukosea wengi wa mashabiki wa yanga ni hamnamo kitu kichwani. Mwenye akili timamu au educated hauwezi kwenda airport kupokea watu wasio kuhusu eti sababu ni wapinzani wa wapinzani wenu.
 
Ukiishabikia yanga uzee wako utaishia kiroga majirani zako tu
 
Bwege kweli treble alimaanisha ni kuchukua kombe msimu mitatu mfululizo hivi mashabiki wa yanga akili zenu ni za kuvukia bara bara tu halafu yule albino ndo anawaingiza chaka hamjui yule ni simba yupo pale kama lowasa alivyoenda chadema tu anawachora.
acha upumbavu,na umbumbumbu.
treble ni ku win 3 trophies in a single season.ficha upumbavu wako bwege we
 
acha upumbavu,na umbumbumbu.
treble ni ku win 3 trophies in a single season.ficha upumbavu wako bwege we
Usidandie comment angalia ilipoanzia hivi yanga ujinga mtaacha lini yaani mnahesabu mpaka ngao ya jamii [emoji23]
 
Usidandie comment angalia ilipoanzia hivi yanga ujinga mtaacha lini yaani mnahesabu mpaka ngao ya jamii [emoji23]
wewe ndio mjinga, umejibu comment ya mdau, kupitia Ile picha ya lile fuso, limeandikwa treble. ukasema hiyo treble ni kuchukua kombe mara 3 mfululizo. ndio nakufahamisha, ni kuchukua makombe matatu katika msimu mmoja.acha uboya mbumbumbu fc
 
Bwege kweli treble alimaanisha ni kuchukua kombe msimu mitatu mfululizo hivi mashabiki wa yanga akili zenu ni za kuvukia bara bara tu halafu yule albino ndo anawaingiza chaka hamjui yule ni simba yupo pale kama lowasa alivyoenda chadema tu anawachora.
Kabla sijaona hii post yako nilikua naamini mimi ndo Mpumbavu nambari moja kwenye hii forums.

TREBLE ni kuchukua kombe misimu mitatu mfululizo? Sikukutendea haki unastahili namba moja.
 
wewe ndio mjinga, umejibu comment ya mdau, kupitia Ile picha ya lile fuso, limeandikwa treble. ukasema hiyo treble ni kuchukua kombe mara 3 mfululizo. ndio nakufahamisha, ni kuchukua makombe matatu katika msimu mmoja.acha uboya mbumbumbu fc
Kenge kweli sasa mimi ndo nakufahamisha simba waliandika treble kwa kumaanisha kuchukua kombe la ligi kuu mara tatu mfulilizo sio kama utopolo wana hesabu mpaka ngao ya jamii au bado hujaelewa ni mwite kabwili akueleweshe vizuri treble iliyoandikwa kwenye fuso la simba ina maana tofauti na treble mnayosema yanga.
 
Back
Top Bottom