Uelewa wa mashabiki wa Yanga ni mdogo sana

Kabla sijaona hii post yako nilikua naamini mimi ndo Mpumbavu nambari moja kwenye hii forums.

TREBLE ni kuchukua kombe misimu mitatu mfululizo? Sikukutendea haki unastahili namba moja.
Hamna treble ni kuchukua ngao ya jamii bila kifungwa kma mmeshindwa kumuelewa manara alipoawaambia mnaanzia hatua ya awali sio lazima na mimi unielewe kwani utopolo mnazo hzo akili za kuchanganua mambo.
 
Mara tatu mfurulizo ni treble? hii kamusi ya wapi?
 
Hakuna treble ya kuchukua mfululizo labda utueleze hiyo maana umeitoa tafsiri gani?
 
Mara tatu mfurulizo ni treble? hii kamusi ya wapi?
Ngoja nikufafanulie utopolo maana nyie akili zenu ni za kuvukia bara bara tu

Treble can be :‐

Three sporting victories or championships in the same season.

Or can be
A number or amount which is three times

Also can be :–

Make or become three times

Usibishane na sisi tuliosoma organic chemistry A level hayo mambo tumecheza nayo sana utaelewa tetra kweli au hexa.

Sasa utopolo nafunga mjadala wa treble kama hujaelewa sasa rasi simba anaweza akawa mkombozi wako.
 
Hakuna treble ya kuchukua mfululizo labda utueleze hiyo maana umeitoa tafsiri gani?
Mkuu nishatoa ufafanuzi ila unatakiwa uelewe kwanza mambo madogo madogo kama double au dual halafu ndo ulewe treble tatizo mmekariri hivi mnaenda lini airport kuwapokea wydad wanakuja taifa kucheza simba day.
 
Three sporting victories or championships in the same season. ume elewa nini hapo wewe mkemia feki kama jiwe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ismail Aden Rage alikuwa sahihi kabisa kuwaita mbumbumbu.
"Mashabiki wa Yanga Sc hawajastarabika, wanapayuka kama mambwa na ninawafananisha na Manyani" - Hii kauli iliwauma balaa, ila ndohovyo haikuwa na uongo wowote😂
 
Kukariri Tetra na Hexa umejiona umeyapatia [emoji22] Sensa ijayo wahesabu idadi ya vichaa kama wewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kukariri Tetra na Hexa umejiona umeyapatia [emoji22] Sensa ijayo wahesabu idadi ya vichaa kama wewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yanga hamna mwenye akili pale mngekuwa na akili msingepiga picha na Morrison mkadai mmeshasaini miaka mitatu kumbe ilikuwa wanawakamata mazuzu kama nyinyi pale yanga kuanzia wanasheria viongozi wote vilaza ndo maana Morrison aliwashinda kwenye kesi,

kwasababu hamjielewi kuanzia mashabiki mpaka viongozi watu smart wapo simba ndo maana tumewapa kina senzo na manara wawatoe kwenye ujinga ujinga kama huo mdogo mdogo wazee wa 0.5 CAF champion's league aka wazee wa treble.
 
Kabla sijaona hii post yako nilikua naamini mimi ndo Mpumbavu nambari moja kwenye hii forums.

TREBLE ni kuchukua kombe misimu mitatu mfululizo? Sikukutendea haki unastahili namba moja.
kajamaa kapumbavu kweli, katafute neno lingine,sio treble,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…