pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
- Thread starter
- #61
Hamna treble ni kuchukua ngao ya jamii bila kifungwa kma mmeshindwa kumuelewa manara alipoawaambia mnaanzia hatua ya awali sio lazima na mimi unielewe kwani utopolo mnazo hzo akili za kuchanganua mambo.Kabla sijaona hii post yako nilikua naamini mimi ndo Mpumbavu nambari moja kwenye hii forums.
TREBLE ni kuchukua kombe misimu mitatu mfululizo? Sikukutendea haki unastahili namba moja.