Uelwa mdogo kuhusu swala zima la sensa na udini

kitero

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
563
Reaction score
109
Kugomea sensa ni kutokuwa na elimu ya kutosha? Mimi ningependekeza hao viongozi wa hili swala zima wachunguzwe kiwango chao cha elimu na kiwango chao cha uelewa.

Ni aibu kwa kwarne tuliyo nayo kuona watu wanagomea sensa tena ni kikundi cha dini,na hili swala la udini lilizungumziwa mapema na kutoa ushauri likemewe mapema ila kwa sababu lilikuwa linamanufaa kwa upande mmoja basi halikufanyiwa kazi ,ndiyo maana hata kule Zanzibar tuliona uchomaji moto makanisa na watu wa madhehebu/dini hii inatogomea sensa,Wakishauriwa na kuambiwa wachukuliwe hatua utaambiwa kuna mkono wa CDM.

Je ingekuwa kama inavyosemwa kuwa CDM ni chama cha kidini na kikabila haya yote waliyofanya ndugu zetu ingekuwa imefanywa na dini hii ya chadema walisha chukulia hatu mapema.

Kugomea sensa hainiingii akilini hata kidogo na ni ujinga na ulimbukeni ndugu zangu.Sensa ni kwa manufaa yetu na vizazi vyetu,Kama ni kutaka kujua waislamu wako wangapi si swala la kufanya sensa yenu wenyewe?mbona kanisa lilifanya ya kwao bila kushirikisha serekali?Na wakajua idadi yao ni ngapi.

Hata kama kipengele cha dini kikiwekwa itachukuliwa tuu idadi ya wanaojiita /wenye majina ya kiislamu na si kujua idadi kamili ya waislam hai nikisema waislamu hai na maanisha wale wanaishi kulingana na yale maadili na misingi ya kiislamu kwa hiyo bora hii kazi ifanywe na waislamu wenyewe wenye uwezo na elimu ya kiislamu.
 
sasa kama me kitu kwangu nimeona hakina manufaaa wewe unataka kunilazmisha ili iweje??
Kama we unaona umuhimu nenda kahesabiwe,,kama mm ni mjinga,wa karne za zamani,sijitambui kimpango wangu na maisha yangu
soma lile dodoso ulielewe vizuri,muhojiwa halazimishwi kutoa majibu bali anashawishiwa,ktk kushawishiwa kuna kukubali au kutokubali kushawishika
sasa sisi awamu hii amasa iliyotumika kutushawishi haijazaa matunda
endeleen kuwashawishi wengine wengi,wapo na mtawapta tuh
kwan bila sisi hamuwez kufanya hilo zoez?
Tushafanya maamuz tayar kwa faida yetu na vizaz vyetu vijazo...
 
Tembelea tovuti ya JMTz katika wizara ya Utalii, Pitia tovuti ya Bodi yya Utalii Tz bara (TTB) utaona wameainisha kipengele cha Religions na wameweka na Data.

Sasa tujiulize kama sio muhimu mbona Serikali ya JMTz imeziweka?
Jiulize zaidi Je wamezipata wapi?

Tunafahamu fika Serikali ya JMTZ inadai haina Dini. Lakin lazima ielewe wananchi wake ambao ndio serikali yenye we wana Dini. Sasa kwanini zisijulikane?
 
wajinga wenzako wanaweza kukuona kweli wewe una elimu na una uelewa wa hali ya juu,kitu ambacho si ukweli.kwa kua kutohesabiwa sensa hakuvunji sheria basi tuache tuliokataa kuhesabiwa kutusakama nyie werevu endeleeni na sensa yenu.kwakua wewe si mstaarabu ndio maana hoja yako hapo juu haina mashiko.mtu mwelewa anatakiwa ajiulize kwanini sisi waislaamu tunagomea sensa na sio kulaumu kama wewe ***** hapo juu.jifunze uislaamu kwanza ndio utajua sababu ya kugomea sensa na sio kukurupuka kama chizi.

kwa kifupi hatuko tayari kuhesabiwa.
 

(2) A person who has been required to supply any particulars pursuant to
subsection (1) shall, to the best of his knowledge, information and belief,
complete such forms, make such returns, answer such questions and give all
such information, in such manner and with in such time as may be specified by
the authorised officer.
(3) An authorised officer may, at all reasonable times and upon production,
if required, of his authorization.
(a) connected with the taking of a census or a survey, enter and inspect
any premises including any dwelling house;
(b) connected with collection of other statistics, enter and inspect any
premises where activity for profit or gain is carried on.
and ill either case may make such inquiries as may be necessary for the taking
of the census or the collection of the statistics as the case may be.

(3) Any person who-
(a) hinders or obstructs any authorized officer in the lawful
perfont1- ante of any duties or in the lawful exercise of
any powers imposed or Conferred upon him or her under
this Act in the lawful exercise of any powers imposed or
conferred upon him or her under this Act;
(b) refuses of willfully neglects-
(i) to complete and supply within the time specified the
particulars required in any return, form or other
document left with or sent to him or her; or
(ii) to answer any question or inquiries put to or made of
him under this Act;
(c) knowingly makes in any return, form or other document
completed by him or her under this Act, or in any answer
to any question or inquiry put to or made of him under this
Act, any statement which is untrue in any material
particular;
(d) without lawful authority, destroys, defaces or mutilates
any return, font1 or other document containing particulars
collected under this Act;
No. 1 Statistics 2002
(e) not being an authorized officer, assumes the quality of, or represents
himself to be, an authorized-officer-
(i) With intent to obtain admission on any premises which he is
not entitled to enter;
(ii) with intent to do anything which he is not entitled to do;
(f) refuses without reasonable cause to grant records and documents in
accordance with section 23;
(g) contravenes any provision of this Act,
commits an 6ffenceandshall be liable on conviction to a fine not exceeding
six hundred thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding
six months or to both.
 
Wewe ni mtanzania na nilazima kuishi na kufuata sheria za nchi,Kuhusu dodoso kuwa na options ya kuwa hulazimishwi ni kwamba unapotaka taarifa na hasa taarifa za kitafiti ngazi ya kaya unatakiwa kuwa mnyeyekevu na mwenye kuwa mshawishi ili uweze pata taarifa nzuri na sahii, na kuna madodoso mengini yameandikwa kabisa unahiyari ya kukubali ama kukataa na mtu anasaini kukubali kabla ya kuanza kwa dodoso,kwa hiyo kukataa kwako kataa kama ww na sii kushawishi kikundi au jami kukubali yaliyo akilini mwako.Hakuna ,hakuna maendeleo yasiyofanyiwa utafiti kabla,ungekuwa unajua nini maana ya tafiti wala usinge sema maneno kama haya.Wewe nadhani hata kama wangeweka hicho kifungu cha dini wala bado usinge elewa maana yake bado.
 
kitero hoja zako hazina mashiko bora unyamaze kimya kwakua usilolijua litakusumbua.nyie mliekubali kuhesabiwa endeleeni sisi waislaam msimamo upo pale pale hatuhesabiwi.
wao wanafiki wachache watahesabiwa na serikali kwakua wameshajua tatizo lipo wanajitahidi kutushawishi lakini kwakua vipengele vyetu hawataki kuviingiza basi sisi hatuko tayari.

ukweli nikua sensa haitakua na faida na haitafanikiwa kama sisi waislaamu hatutahesabiwa na serikali wanajua.takwimu hazitakua realistic hivyo watakua wamepoteza fedha za walipa kodi bure kwa ubishi usiokua na tija.
 

Wa kanisani wajihesabu kivyao na wa msikitini kadhalika. PERIOD.
 
Pamoja na kuwa mgogoro kati ya serikali na waislam katika suala hili na mengine, suala la waislam kujitambua idadi yao,kupitia mifumo yao na taasisi zao si ya kupuuzwa.Hata hivyo suluhu lazima itafutwe kati ya hizi kambi mbili kwa manufaa ya taifa.

Waktaoliki wanajijua, huwa wanapitisha zoezi katika jumuia zao, makanisani,ingawa pia sijui kama wanawapata wale wasiotia mguu makanisani.
 
mfumo kristo in action! and the main target is to discourage free-growth of islam in Tanzania. to achieve this, among otherthings, they have plugged off madrasa system by introducing compassary nursery education in the education system so that muslimu kids do not acquire the needed foundation of their religious studies since time in memorial, they used to get between the tender age of 4- 7 years, after which they enroll in a compasory primary education, usually with an abilility to read, write and do basic arithmatics acquired at madrassat. This kind of ill-motives nearly caused a serious uproar when a cabinet minister hatched a plan to adopt a single religious teaching syllabus that will cater for all pupils, their difference in religious beliefs not withstanding! So when the govt machineries err in the same manner! and later come with insuffient apology, even a fool could smell rat and thus take necessary remedial measures. WE WILL SURVIVE A NATION AS ONE ONLY AFTER A NOTION 'HAKI SAWA KWA WOTE WILL BE MADE TO PREVAIL AND BE SEEN TO PREVAIL!
 
Tumia akili kidogo tu ya kuzaliwa wewe Kitero,chimbuko la madai ya waislamu ya kipengele cha dini kiwekwe kwenye dodoso ilikuwa ni nini? Je walikaa wakakurupuka tu? Taasisi za ndani na za kimataifa zimekuwa zikiweka takwimu za idadi ya watanzania na asilimia zao kidini (TTB,TBC,Wakatoliki,Wikipaedia,CIA factbook n.k) lakini takwimu zote hizo zinazowekwa hakuna hata moja inayofanana na nyingine kila taasisi inatakwimu zake ndiyo hapo tulipoanzia kuwa to clear this ambiguity sasa ni wakati muafaka kujua takwimu sahihi kwenye sensa ya mwaka huu.Na hilo ndiyo dai kuu la msingi la waislam,kukubali kuhesabiwana kuacha sintofahamu hii ikiendelea ni jambao ambalo halikubaliki kwetu ni bora tusihesabiwe ili na idadi ya watanzania nayo sasa waibuni kama wanavyobuni idadi ya waumini wa dini mbali mbali nchini.
 
 
Kwani faida ya kuweka kipingele cha dini katika dodoni nini? labda tujadili hili then ndiyo tuingie upande wapi wa shilingi,inawezekana mada yangu ilihitaji akili ya ziada kidogo kuichambua.Ninaomba faida za kuweka kipingele cha dini katika dodoso maana ni dini moja tuu ndiyo inayotaka hiki kipengele.
 
muislam au waislam hamko peke yenu tupo na wengine ambao ni waislam tunaomtii Mufti na Kadhi na tumekubali kuhesabiwa msitake kufanya sauti zenu ndo sauti za waislam wote HATUDANGANYIKI, nimesoma madodoso ya sensa na miongozo yake nimeelewa na nimeona hakuna haja ya kuwa na kipengele cha dini kwa kuwa huduma za jamii kama maji,shule,zahanati, umeme,barabara hazina uhusiano na dini ya mtu, madhumuni mojawapo ya sensa ni kupata takwimu zitakazosaidia kuboresha huduma hizo na mambo mengine mbalimbali muhimu kwa mtanzania bila kujali dini yake wala kabila lake.
 
Hivi ni kweli waislam wanakandamizwa na mfumo kristo? kama ni kweli ni kwani?na kama si kweli kwanini wanapenda kulalamika? Viongovi wetu walio ongoza taifa ni kutoka katika dini tofauti lakini nashangaa bado wanalalamika,Mbona bhohora,sun,Hindu na nyinginezo hazilalamikii hiki kitu?
 
Jamani mbona mnapinda pinda, suala lililopo ni kwamba, kwenye dodoso ya sensa kuna kipengele cha kuhesabu, makanisa na misikiti na si waumini wao..... sasa waislam tunahoji kwa nini ihesabiwe makanisa na misikiti tu na wala waumini wake wasihesabiwe... wakati kuna agenda ya siri ya kuwabadilisha watu imani kwa kuhakikisha wanatimiza malengo yao ya kujenga majumba ya ibada kwa idadi kadhaa mpaka itakapofikia mwaka........ hilo ndilo linalohojiwa kwama wanaotaka malengo hayo ya kujenga hayo majumba ndio walioshinikiza kuwa waumini wasihesabiwe kwasababau wanajua ukweli waislamu ni wengi kuliko dini nyingine ila wanataka kujua malengo yao yametimia kwa kiasi gani kwa kujenga hayo majumba huko mitaaani....
 
bado hamjasema faida ya kwa nn kipengele cha dini kiwepo, zaidi ya kusema tu ooooohh wakristo wametoa idadi,tbc sijui na ttb.......kwa nn msijihesabu wenyewe????then mkatangaza????
semeni tu agenda yenu ni nini wala msiogope.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…