Kugomea sensa ni kutokuwa na elimu ya kutosha? Mimi ningependekeza hao viongozi wa hili swala zima wachunguzwe kiwango chao cha elimu na kiwango chao cha uelewa.
Ni aibu kwa kwarne tuliyo nayo kuona watu wanagomea sensa tena ni kikundi cha dini,na hili swala la udini lilizungumziwa mapema na kutoa ushauri likemewe mapema ila kwa sababu lilikuwa linamanufaa kwa upande mmoja basi halikufanyiwa kazi ,ndiyo maana hata kule Zanzibar tuliona uchomaji moto makanisa na watu wa madhehebu/dini hii inatogomea sensa,Wakishauriwa na kuambiwa wachukuliwe hatua utaambiwa kuna mkono wa CDM.
Je ingekuwa kama inavyosemwa kuwa CDM ni chama cha kidini na kikabila haya yote waliyofanya ndugu zetu ingekuwa imefanywa na dini hii ya chadema walisha chukulia hatu mapema.
Kugomea sensa hainiingii akilini hata kidogo na ni ujinga na ulimbukeni ndugu zangu.Sensa ni kwa manufaa yetu na vizazi vyetu,Kama ni kutaka kujua waislamu wako wangapi si swala la kufanya sensa yenu wenyewe?mbona kanisa lilifanya ya kwao bila kushirikisha serekali?Na wakajua idadi yao ni ngapi.
Hata kama kipengele cha dini kikiwekwa itachukuliwa tuu idadi ya wanaojiita /wenye majina ya kiislamu na si kujua idadi kamili ya waislam hai nikisema waislamu hai na maanisha wale wanaishi kulingana na yale maadili na misingi ya kiislamu kwa hiyo bora hii kazi ifanywe na waislamu wenyewe wenye uwezo na elimu ya kiislamu.